Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Hakuna gaidi wa watu wote ambaye hana rafiki
Wewe rafiki yako ni nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna gaidi wa watu wote ambaye hana rafiki
Anatajwa na Wajerumani? Au kina Nani?
Kutaja taja Wafu kila mara ni dalili ya kuchanganyikiwa.
Unataja Watu ambao hawana chochote chakufanya
Sina rafiki wa kudumu wala adui wa mileleWewe rafiki yako ni nani??
Sina rafiki wa kudumu wala adui wa milele
Kusemwa vibaya mwendazake kutaisha pale tu serikali itakapoamua kulivalia njuga suala la waovu wote waliotenda uovu wao eidha kwa kutumwa wakati wa utawala wa Magu au kujipendekeza watakapochukuliwa hatua kinyume chake mzee wa watu ataendelea kupewa makavu na hicho kuumiza mioyo ya ndugu zake kwa muda mrefu sana.We ni mpumbavu sn vp kama lissu angekuwa ni baba yako ndo kapewa ukilema ungekuja na hz pumba hz? Shaaabashii..
Unaposikia Holocaust Kwa uelewa wako huwa unaelewa nini?Ushasikia wanasiasa wa Ujerumani wakishinda majukwaani kulaani utawala wa Hitler? Hata hapo Uganda nitajie mwanasiasa anayeimba habari za Idd Amin!
Mwanzisha mada anamaanisha Magufuli ameshatangulia hakuna tunaloweza kubadili lakini waliohai ndio wanaowajibika sasa! Kila mabadiliko tunayotaka Magufuli hawezi kutusaidia bali Mama Samia.
Ila inaonekana kumtukana Magufuli ni kama ajenda ya kimkakati! Bahati mbaya wananchi wa kawaida wanaamini hivyo pia.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kama watu aina ya Makonda bado wapo mtaani wanavimba tu makalio hatutokaa kimya.Kusemwa vibaya mwendazake kutaisha pale tu serikali itakapoamua kulivalia njuga suala la waovu wote waliotenda uovu wao eidha kwa kutumwa wakati wa utawala wa Magu au kujipendekeza watakapochukuliwa hatua kinyume chake mzee wa watu ataendelea kupewa makavu na hicho kuumiza mioyo ya ndugu zake kwa muda mrefu sana.
Mbona mnapanic hakuna anayetaka kuwakataza kumsema huyo Magufuli hata mkitaka na mvue nguo na kutembea uchi barabarani kwa kutia msisitizo kuwa Magufuli alikuwa muovu ni uamuzi wenu tu mie sina mamlaka ya kukuzuia, hapa tunajadiliana tu ni ipi faida ya kutumia muda mwingi kuzunguma mabaya ya Magufuli kuliko tunavyozungumzia mabaya yanayoendelea kufanya sasa na waliyo hai, sasa inaonekana wenzetu mnapanic mnaona kama tunataka kuwazuia msimseme Magufuli.Wewe usiwapangie watu cha kuandika humu kama wewe humsemi kimpango wako. Kaa pembeni kuleee [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Sasa maneno kama hayo utasema unamkosoa huyo marehemu kwa nia ya kutaka wengine wasirudie makosa? Hizo ni hasira kwa marehemu.Huyu naye ni mmoja wa wale wahamiaji haramu kama alivyokuwa yule mwovu
Nyinyi endeleeni tu kumshambulia huyo marehemu ili kupunguza hasira mlizonazo kwa huyo marehemu ila tusidanganyane hapa kwamba et kwa kumsema Magufuli kwa hivyo mnavyofanya ndio mtashinikiza serikali kwa lolote.Kama watu aina ya Makonda bado wapo mtaani wanavimba tu makalio hatutokaa kimya.
Makonda alikuwa ni sawa na Maliyamungu kwenye utawala wa Idd Amin Dada.
Mkuu tatizo ni kwamba katika watanzania M60 sio wote wana hasira na Magufuli hata kama Magufuli alifanya mabaya kwenye uongozi wake, msichoelewa ni kwamba mnachokifanya nyinyi hapa ni kupunguza tu hasira zenu kwa huyo marehemu na si kingine.Huyo Magu inabidi mabaya yake yaendelee kutajwa na ikibidi yaingizwe kwenye mitaala wanafunzi hata wa vizazi vijavyo wayasome mabaya yake kama wanavyosomwa akina Hitler, Mussolini au aliyekuwa jirani hapa Idd Amin Dada.
Kuna faida kubwa kukumbushana mara kwa mara ili kuwa na umakini makosa ya kuwa na aina fulani ya viongozi yasiwe yanarudiwa.
Sawa ila mwisho wa siku mwizi ni mwizi tu, je hao wezi wengine ambao si kama Magufuli mmewafanya nini hadi sasa? Kikwete hakuwahi kuambiwa mwizi? Je mmemfanya nini? Ndio kwanza mnamwita kuwa ni mtu mwema ndio maana hajafa.Hajawahi kutokea Kiongizi mwizi na muuaji kama magufuli
Inasaidia sana kumtaja Magufuli na maovu yake na hufundisha kwa namna nyingi tu:Anaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.
Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.
Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.
Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.
Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.
Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.
Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.
Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.
Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.
Acha nipumzike SASA.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Tulia we cheti feki, jumapili njoo mwanza uone MV hapa kazi tu. Inavyoshushwa ziwani.Inasaidia sana kumtaja Magufuli na maovu yake na hufundisha kwa namna nyingi tu:
1. Kuwa hakuna aliye juu ya sheria
2. Kila dhulma zina mwisho wake
3. Udikteta ni mmbaya
4. Historia ndio hakimu wa wakati wote
5. Wananchi ndio mahakimu wa matendo ya viongozi
6. Haki ya mtu haipotei
7. Uongo una mwisho
8. Tuwe makini kuchagua viongozi wetu
9. Kamwe isijirudie tena! Never, never and never again people of this kind
10. Mungu hadhihakiwi!
Na wewe utakuwa na asili ya Uhutu?Tulia we cheti feki, jumapili njoo mwanza uone MV hapa kazi tu. Inavyoshushwa ziwani.
Melikubwa kuwahi kutokea katika ziwa kwenye ukanda huu wa Africa mashariki na kati na ambayo imetengenezwa hapahapa.
Maneno yenu ya kutungatunga hayawezi kumchafua hayati Magufuli.
Fikra nakazizake zitaendelea kuwatesa mbaka mnaingia kaburini.
Nyinyi majitu hovyo sana sijui mapata faida gani kutunga uwongo juu ya Shujaa' Magufuli.
Kikwette hajaiba kitu. Ni uelewa wako finyu wa ussuesSawa ila mwisho wa siku mwizi ni mwizi tu, je hao wezi wengine ambao si kama Magufuli mmewafanya nini hadi sasa? Kikwete hakuwahi kuambiwa mwizi? Je mmemfanya nini? Ndio kwanza mnamwita kuwa ni mtu mwema ndio maana hajafa.
Mbona unawashwa sana wewe mfuate huko kuzimuSasa maneno kama hayo utasema unamkosoa huyo marehemu kwa nia ya kutaka wengine wasirudie makosa? Hizo ni hasira kwa marehemu.
Unadhani toka muanze kuyasema hayo maovu ya Magufuli hadi sasa ni kwa kiasi gani watu wamejifunza katika hayo uliyoyaorodhesha? Unaweza ukaeleza ni kwa vp watu wamejifunza na si kwamba wanawaona kuwa mnafanya hivyo kupunguza hasira zenu kwa huyo marehemu?Inasaidia sana kumtaja Magufuli na maovu yake na hufundisha kwa namna nyingi tu:
1. Kuwa hakuna aliye juu ya sheria
2. Kila dhulma zina mwisho wake
3. Udikteta ni mmbaya
4. Historia ndio hakimu wa wakati wote
5. Wananchi ndio mahakimu wa matendo ya viongozi
6. Haki ya mtu haipotei
7. Uongo una mwisho
8. Tuwe makini kuchagua viongozi wetu
9. Kamwe isijirudie tena! Never, never and never again people of this kind
10. Mungu hadhihakiwi!