Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

We ni mpumbavu sn vp kama lissu angekuwa ni baba yako ndo kapewa ukilema ungekuja na hz pumba hz? Shaaabashii..
Kusemwa vibaya mwendazake kutaisha pale tu serikali itakapoamua kulivalia njuga suala la waovu wote waliotenda uovu wao eidha kwa kutumwa wakati wa utawala wa Magu au kujipendekeza watakapochukuliwa hatua kinyume chake mzee wa watu ataendelea kupewa makavu na hicho kuumiza mioyo ya ndugu zake kwa muda mrefu sana.
 
Ushasikia wanasiasa wa Ujerumani wakishinda majukwaani kulaani utawala wa Hitler? Hata hapo Uganda nitajie mwanasiasa anayeimba habari za Idd Amin!

Mwanzisha mada anamaanisha Magufuli ameshatangulia hakuna tunaloweza kubadili lakini waliohai ndio wanaowajibika sasa! Kila mabadiliko tunayotaka Magufuli hawezi kutusaidia bali Mama Samia.

Ila inaonekana kumtukana Magufuli ni kama ajenda ya kimkakati! Bahati mbaya wananchi wa kawaida wanaamini hivyo pia.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Unaposikia Holocaust Kwa uelewa wako huwa unaelewa nini?
 
Kusemwa vibaya mwendazake kutaisha pale tu serikali itakapoamua kulivalia njuga suala la waovu wote waliotenda uovu wao eidha kwa kutumwa wakati wa utawala wa Magu au kujipendekeza watakapochukuliwa hatua kinyume chake mzee wa watu ataendelea kupewa makavu na hicho kuumiza mioyo ya ndugu zake kwa muda mrefu sana.
Kama watu aina ya Makonda bado wapo mtaani wanavimba tu makalio hatutokaa kimya.

Makonda alikuwa ni sawa na Maliyamungu kwenye utawala wa Idd Amin Dada.
 
Wewe usiwapangie watu cha kuandika humu kama wewe humsemi kimpango wako. Kaa pembeni kuleee [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Mbona mnapanic hakuna anayetaka kuwakataza kumsema huyo Magufuli hata mkitaka na mvue nguo na kutembea uchi barabarani kwa kutia msisitizo kuwa Magufuli alikuwa muovu ni uamuzi wenu tu mie sina mamlaka ya kukuzuia, hapa tunajadiliana tu ni ipi faida ya kutumia muda mwingi kuzunguma mabaya ya Magufuli kuliko tunavyozungumzia mabaya yanayoendelea kufanya sasa na waliyo hai, sasa inaonekana wenzetu mnapanic mnaona kama tunataka kuwazuia msimseme Magufuli.

Hii inaonyesha hili suala lipo kihisia zaidi kwa maana mnachokifanya ni kupunguza hisia za hasira mnapokuwa mnamsema huyo Magufuli, na hili liko wazi maana tunaona maneno ya kumwita shetani,Ibilisi, mara mnamlaani, sijui ni kuni za moto,Mungu kaamuwa ugomvi, kafa kwa corona na maneno kibao ambayo yanaonyesha ni jinsi gani mnamchukia huyo Marehemu na si kwamba mnaeleza mapungufu yake kwa nia ya wengine kutoyarudia na ndio maana mnakuwa wakali mtu anapohoji mnachokifanya.
 
Kama watu aina ya Makonda bado wapo mtaani wanavimba tu makalio hatutokaa kimya.

Makonda alikuwa ni sawa na Maliyamungu kwenye utawala wa Idd Amin Dada.
Nyinyi endeleeni tu kumshambulia huyo marehemu ili kupunguza hasira mlizonazo kwa huyo marehemu ila tusidanganyane hapa kwamba et kwa kumsema Magufuli kwa hivyo mnavyofanya ndio mtashinikiza serikali kwa lolote.

Miaka miwili sasa Makonda yupo hajaguswa na wengine wamechaguliwa kwenye nafasi za uongozi na Samia.

Nyinyi endeleeni kuangaika na marehemu.
 
Huyo Magu inabidi mabaya yake yaendelee kutajwa na ikibidi yaingizwe kwenye mitaala wanafunzi hata wa vizazi vijavyo wayasome mabaya yake kama wanavyosomwa akina Hitler, Mussolini au aliyekuwa jirani hapa Idd Amin Dada.
Kuna faida kubwa kukumbushana mara kwa mara ili kuwa na umakini makosa ya kuwa na aina fulani ya viongozi yasiwe yanarudiwa.
Mkuu tatizo ni kwamba katika watanzania M60 sio wote wana hasira na Magufuli hata kama Magufuli alifanya mabaya kwenye uongozi wake, msichoelewa ni kwamba mnachokifanya nyinyi hapa ni kupunguza tu hasira zenu kwa huyo marehemu na si kingine.

Mnataka wote tuamini kwamba nchi hii ilikuwa shwari tu ila Magufuli ndio kaja kuharibu, mkiambiwa mambo mengi mnayolaumu kutafanya Magufuli mbona hata huko nyuma yalifanyika, mnasema hayo elezeni nyie hamtaki kuyajadili mnataka mueleze ya Magufuli tu.
 
Hajawahi kutokea Kiongizi mwizi na muuaji kama magufuli
Sawa ila mwisho wa siku mwizi ni mwizi tu, je hao wezi wengine ambao si kama Magufuli mmewafanya nini hadi sasa? Kikwete hakuwahi kuambiwa mwizi? Je mmemfanya nini? Ndio kwanza mnamwita kuwa ni mtu mwema ndio maana hajafa.
 
Anaandika, Robert Heriel

Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.

Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.

Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.

Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.

Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.

Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.

Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.

Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.

Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.

Acha nipumzike SASA.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Inasaidia sana kumtaja Magufuli na maovu yake na hufundisha kwa namna nyingi tu:

1. Kuwa hakuna aliye juu ya sheria
2. Kila dhulma zina mwisho wake
3. Udikteta ni mmbaya
4. Historia ndio hakimu wa wakati wote
5. Wananchi ndio mahakimu wa matendo ya viongozi
6. Haki ya mtu haipotei
7. Uongo una mwisho
8. Tuwe makini kuchagua viongozi wetu
9. Kamwe isijirudie tena! Never, never and never again people of this kind
10. Mungu hadhihakiwi!
 
Tulia we cheti feki, jumapili njoo mwanza uone MV hapa kazi tu. Inavyoshushwa ziwani.
Melikubwa kuwahi kutokea katika ziwa kwenye ukanda huu wa Africa mashariki na kati na ambayo imetengenezwa hapahapa.

Maneno yenu ya kutungatunga hayawezi kumchafua hayati Magufuli.
Fikra nakazizake zitaendelea kuwatesa mbaka mnaingia kaburini.

Nyinyi majitu hovyo sana sijui mapata faida gani kutunga uwongo juu ya Shujaa' Magufuli.
 
Tena ujinga sana kwenye hali kma ya hiii ya mfumoko wa bei mtu marehemu wa mwaka ssa tuna kwenda wa 2 bado JPM NI TOPIC NA UPUUUZ HUUU UNAUPATA KWENYE JUKWAAA LA MAXMELO JF ILA MTAAANI HALI TOFAUTI KABISA HAPO NDIO NAJIULIZA JE JF NI SEHEMU YA WAGANGA NJAAA NA WATEMBEA NA BAHASHA AU NIWAGU WANAOISHI MUHU NI WAJINGA?
 
Tulia we cheti feki, jumapili njoo mwanza uone MV hapa kazi tu. Inavyoshushwa ziwani.
Melikubwa kuwahi kutokea katika ziwa kwenye ukanda huu wa Africa mashariki na kati na ambayo imetengenezwa hapahapa.

Maneno yenu ya kutungatunga hayawezi kumchafua hayati Magufuli.
Fikra nakazizake zitaendelea kuwatesa mbaka mnaingia kaburini.

Nyinyi majitu hovyo sana sijui mapata faida gani kutunga uwongo juu ya Shujaa' Magufuli.
Na wewe utakuwa na asili ya Uhutu?
Tukio la meli litapongezwa ila ukatili utalaaniwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wamebanwa kwenye kona wamekosa pakutokea... Wamemgeza hayati kuwa punching bag.... Mbona tunashuhudia mengi ya hovyo yakifanuika wakati huu kuzidi hata awamu zilizopita....
 
Sawa ila mwisho wa siku mwizi ni mwizi tu, je hao wezi wengine ambao si kama Magufuli mmewafanya nini hadi sasa? Kikwete hakuwahi kuambiwa mwizi? Je mmemfanya nini? Ndio kwanza mnamwita kuwa ni mtu mwema ndio maana hajafa.
Kikwette hajaiba kitu. Ni uelewa wako finyu wa ussues
 
Inasaidia sana kumtaja Magufuli na maovu yake na hufundisha kwa namna nyingi tu:

1. Kuwa hakuna aliye juu ya sheria
2. Kila dhulma zina mwisho wake
3. Udikteta ni mmbaya
4. Historia ndio hakimu wa wakati wote
5. Wananchi ndio mahakimu wa matendo ya viongozi
6. Haki ya mtu haipotei
7. Uongo una mwisho
8. Tuwe makini kuchagua viongozi wetu
9. Kamwe isijirudie tena! Never, never and never again people of this kind
10. Mungu hadhihakiwi!
Unadhani toka muanze kuyasema hayo maovu ya Magufuli hadi sasa ni kwa kiasi gani watu wamejifunza katika hayo uliyoyaorodhesha? Unaweza ukaeleza ni kwa vp watu wamejifunza na si kwamba wanawaona kuwa mnafanya hivyo kupunguza hasira zenu kwa huyo marehemu?
 
Back
Top Bottom