SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kimesinya lakini mnatumia mitutu ya bunduki na mabomu kupambana nacho, hii ni dhahiri kuwa CCM ndiyo imesinyaa kwani kuwepo kwake ni kwa nguvu ya vyombo vya dola tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe na maccm ndio walaumiwe! Wakora wakubwa sana! Jiwe alileta Siasa za visasi na ukichaa!Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
Labda ni yule wa milele, sina uhakika thoughWatanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
Umeleta uzi mwenyewe na umeutawala mwenyewe. Hongera sana mkuu.Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je, Watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
Kikisinyaa kuna shida? si ndio vingine vinapata nguvu, kama Chadema imesinyaa, CUF iko wapi? ACT ambao walionekana mbadala wako wapi? UDP wako wapi? NSSR-Mageuzi wako wapi? T.L.P wako wapi? mbona hao hawazungumziwi? kama wamekufa wako hai au wamedumaa?
Lakini wakisinyaa si ndio faida kwa CCM maana ndio ilikuwa mpango wao kuua upinzani sasa kama mpango unakamilika mbona maneno tena badala ya kujipongeza?
Kuhusu Dr. Slaa na yeyote akiyetoka Chadema usitegemee ataiongelea vizuri Chadema, huyo slaa enzi zake chadema kiliongoza kwa maadandmano ya kila namna amesahau alivyopasuliwa na polisi? ni sawa na mwanamke mliyeachana naye unategemea atakuongelea mazuri, maneno yake yatakuwa saizi amefubaa sana mimi ndio nilikuwa namsaidia, sKwaaizi amechoka yaani amefulia, au anatia huruma hayo ndio maneno mtalaka siku zote.
Kitila na zitto walitoka kwenda kuanzisha chama chao ACT vipi bado wako pamoja? na ni wasomi wa kutukuka
Kama imesinyaa CCM wakubali kura zipigwe wazi zihesabiwe wazi CCM wakipata hata 20% ya total votes nahama nchi naenda Afghanistan,CCM kilishakufa,lingine JPM aliharibu morali ya watu kupiga kura,kama CCM wanajua hawajasinyaa wanaogopa Nini tume huru ya uchaguzi na katiba mpya yenye Taasisi imara?CCM wakubali kura ziwe huru waone nani kasinyaaaakiliazima
Sio kweri bwanaChama kinakubali kukopeshwa na Mwenyekiti ?ukiwamuuliza Mwenyekiti tupe tax return yako ndio utashangaa
Wanasubiri makapi ya ccm wataamka tenaWatanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je, Watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
Ccm hawatakinupinzani kabisa wanatumia Kila mbinu kuwadhoofisha cdm sababu no hiziWatanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je, Watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?
Ccm hawaki upinzaniKinasinyaa kwasababu ya ulevi wa kupindukia wa waandamizi wake, kutegemea hisia na huruma za wananchi kujiendesha, ukata na madeni makubwa yasiyolipolika, kufikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala kwa wanaokiendesha chama hicho bila mipango bali makalamiko tu 🐒
si kweli,Ccm hawaki upinzani
Wanatumia Kilabinu upinzani ufe
Juzi wamemuu Mzee kibao sasa kwa Hali hii cdm itastawi vipi
Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je, Watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama ambacho kiliazima mgombea urais toka chama tawala mwaka 2015 na kutikisa kuonekana kuwa KINASINYAA kila UCHAO?