Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Mechi ya Leo imetufundisha jambo, hwa Asec mimosas simba haiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa Mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora.
Mambo ya kishirikina yanayofanyikaga pale kwa mkapa ili simba ashinde tunayajua vizuri sana, ndiyo maana slogan ya kwa mkapa atoki mtu inafanya kazi kwa mkapa tu wakitoka nje wanakuwa weupee.
Hii dhana ifike mahali ikome, kama una uwezo wa kushinda nyumbani basi uonyeshe angalau kauwezo kidogo kuonyesha ubora wako lakini unafika ugenini unagongeshwa tu kiulaini utafikiri pombe ya ngomani?
Timu inabaki kuwa na uwezo uwanja wa Taifa tu ambapo ndo jopo la waganga lipo kwanini msiwe mnakwenda nao uko nje wawasaidie na uko?