matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kabisa..Ni kwel kabsa unayoyasema lakin mabadiliko hayatatokea kwasababu wenye nyazifa za kufanya mabadiliko watoto wao hawapo kwenye hzo shule
Tusikiogope. Watoto huwa niwaelewa wanakielewa faster tuKutumia kiingereza sekondari na chuo kikuu ndiyo kujidumaza, na ujinga mkubwa. Kiingereza tungejifunza kama lugha tu.
Hakuna anayekiogopa. Hakifai kutumika kufundishia kwenye nchi yetu.Tusikiogope. Watoto huwa niwaelewa wanakielewa faster tu
Unatakiwa uwe na nguvu ya uchumi pia ili kuendelea kukomaa na kiswahili hiki.Hakuna anayekiogopa. Hakifai kutumika kufundishia kwenye nchi yetu.
Taarifa nyingi za maana zipo kwa kiingereza. Watoto wa Shule za serikali huwa ni watafiti na wanaakili kuliko international. Wakiongezewa dimension ya English kuanzia chekechea, nchi nzima itachangamka kiakiliHakuna anayekiogopa. Hakifai kutumika kufundishia kwenye nchi yetu.
kwenye umri huo ndio mda sahihi wa kujifunza hayo unayosema magumu .... kiswahili kiwe somo kama somo .... kwa kuwa kiswahili kinaongelewa nyumbani watakijua tuu ...Huwezi kusoma kiingereza hujui hata kuandika "shangazi "
Kiufupi shule za msingi ndio watoto wananza kujifunza kusoma na kuandika kiswahili achilia mbali kiingereza ambacho maneno yake ni magumu kwa mtoto mdogo
Ukijua kuandika shangazi na aunt kwa pamoja kuna tofauti gani.?Huwezi kusoma kiingereza hujui hata kuandika "shangazi "
Kiufupi shule za msingi ndio watoto wananza kujifunza kusoma na kuandika kiswahili achilia mbali kiingereza ambacho maneno yake ni magumu kwa mtoto mdogo
Wana jf mimi ninavyojua lugha ni utamaduni hiyo kushadidia lugha za wengine hasa kiingereza ni kwamba kuoenda utamaduni wa kiingereza na kuudharau utamaduni wa mswahili kama ambavyo wakoloni walivyotuaminisha kuwa utamaduni wetu ni wakishenziKutumia kiingereza sekondari na chuo kikuu ndiyo kujidumaza, na ujinga mkubwa. Kiingereza tungejifunza kama lugha tu.
Ndio maana inaitwa shule/masomo ... kutojua kiswahili haiwazuii wao kufundishwa kwa mtaala wa kingereza ... na kiswahili likabaki kama somo .Hivi mnajua huko vijijini watoto hawajui kabisa kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23],asilimia 70% shule za vijijini watoto wao wanongea lugha za kabila lao na walimu wanatumia nguvu kubwa Sana shuleni kuwasisitiza kuongea kiswahili ....!mpaka watoto wananza darasa la kwanza ndio wanakuja kujua kuwa Kuna lugha inaitwa kiswahili .....
Hii nchi Bado ni masikini sanaa Tena wa kutupwa ,msijipe mambo ambayo hamuwezi ,...kisa nyie mmekulia mjini mnajiona Tanzania yote ipo hivo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tembea uone ...Kuna maeneo unaweza kukataa hadharani kuwa hapa sio Tanzania ,ni Burundi au congo ....
Yani Kama kiingereza ni cha kubabaisha,hata kujiamini kunapungua kabisa...kilichobaki ni kila mmoja apambane na watoto wake katika hali Kama hii.
KweliKwelii mkuuKama kiingereza ni cha kubabaisha,hata kujiamini kunapungua kabisa...kilichobaki ni kila mmoja apambane na watoto wake katika hali Kama hii.
Hivi mnajua huko vijijini watoto hawajui kabisa kiswahili πππ,asilimia 70% shule za vijijini watoto wao wanongea lugha za kabila lao na walimu wanatumia nguvu kubwa Sana shuleni kuwasisitiza kuongea kiswahili ....!mpaka watoto wananza darasa la kwanza ndio wanakuja kujua kuwa Kuna lugha inaitwa kiswahili .....
Hii nchi Bado ni masikini sanaa Tena wa kutupwa ,msijipe mambo ambayo hamuwezi ,...kisa nyie mmekulia mjini mnajiona Tanzania yote ipo hivo ππππtembea uone ...Kuna maeneo unaweza kukataa hadharani kuwa hapa sio Tanzania ,ni Burundi au congo ....
Hata Kampala nilifika Mara ya kwanza nikajichanganya mtaani usiku, hawajui kiingereza wala kiswahili wanatwanga kilugha jiji zima. Nilivyouliza nikaambiwa kiingereza na kiswahili wanajifunzia Shule ni.Hivi mnajua huko vijijini watoto hawajui kabisa kiswahili ππusiklimia 70% shule za vijijini watoto wao wanongea lugha za kabila lao na walimu wanatumia nguvu kubwa Sana shuleni kuwasisitiza kuongea kiswahili ....!mpaka watoto wananza darasa la kwanza ndio wanakuja kujua kuwa Kuna lugha inaitwa kiswahili .....
Hii nchi Bado ni masikini sanaa Tena wa kutupwa ,msijipe mambo ambayo hamuwezi ,...kisa nyie mmekulia mjini mnajiona Tanzania yote ipo hivo ππππtembea uone ...Kuna maeneo unaweza kukataa hadharani kuwa hapa sio Tanzania ,ni Burundi au congo ....