Kuendesha baiskeli

Kuendesha baiskeli

Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Nyie ndiyo enzi hizo mlikuwa mnatusumbua sana na mountain bike na ma BMX [emoji1]

Ova
 
Aise mm baiskeli nmeendesha sana sana,na mpaka leo nyumbani nnayo moja nmeininginiza juu
Nikiwa mitaa ya kino siku mzuka ukinipanda naamsha nayo mjini chap

Ova
 
Aibu ni kutokuwa na pesa na kuwa shoga kwa mwanaume au kuwa msagaji kwa mwanamke.
Hayo ya kuendesha baiskeli,bodaboda,gari ni interest ya mtu.
 
Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Afadhali wewe mjanja hujawahi endesha baiskeli. Wengi wanaondeshaga baiskeli wanaupungufu wa nguvu za kiume kwasababu kile kiti kinadisturb Sana mishipa ya poumbou kwasababu ya kunyonga na kutwist kiuno huku umekalia poumbou na kuzikandamiza kwenye kiti
 
Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Kwanza kutojua kuendesha chombo chochote cha usafiri, hakuna aibu, ispokua , umuhimu unakuja kulingana na mazingira unayoishi.

Mfano; Mazingira unayoishi pikipiki ndicho chombo cha usafiri mnachokitemea kusafiria zaidi. kuna umuhimu na wewe kujua kuendesha hata kama hujanunua ya kwako.
 
Kuendesha baiskeli, hakupiti, maana ni sehemu ya mazoezi, china wako mbele na ulaya wametuacha mbali sana kimaendeleo, lakini bado watu wanatembelea baiskeli. na kuna hata mashindano ya baiskeli.
Sasa wewe miaka 40 jifunze uvunje mguu ndio ujue, wenzao walianzia utotoni mazoezi hata kukimbia inatosha
 
Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Mimi naona ajabu ujue
 
Ila pacha wewe utakuwa wa kishua sana, ndio wale wa school bus ukiwa na safari nyingine unaenda na gari
Mjini baskeli sio usafiri ni burudani tu ambayo sikuipenda. Enzi nasoma kulikuwa hakuna school bus.
 
Pikipiki sishangai, ila baiskeli kuna umri unakuwa na kimuhemuhe sana cha kujifunza na marafiki hasa umri wa miaka 9 nakuendelea.
Ila sijui kwa wale wa kushinda wamefungiwa magetini.
Wa magetini ndiyo wanaojua baiskeli tangu wakiwa wadogo kabisa. Wanaishi kama Ulaya. Ulaya huwezi kukuta mtu asiyejua kuendesha baiskeli kwani tangu utoto wanakuwa nazo.
 
Back
Top Bottom