mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Nakumbuka kuna wakati nko kwenye harakati dodoma,nlikuwa natoka na baiskeli kondoa,soya napita mwakisabe naelekea dodoma vijijiniKwa sie tuliokulia kijijini ni njia ya usafiri, kabla ya bodaboda baiskeli zilikuwa zinatumika hata kupeleka wagonjwa hospitali
Segara bombani,nlikuwa pia natoka segara mpk aneti na baiskeli...
Baiskeli iliniweka ufit sana
Kweli, enzi hzo bodaboda hakuna aise
Ova