Nakumbuka kuna wakati nko kwenye harakati dodoma,nlikuwa natoka na baiskeli kondoa,soya napita mwakisabe naelekea dodoma vijijiniKwa sie tuliokulia kijijini ni njia ya usafiri, kabla ya bodaboda baiskeli zilikuwa zinatumika hata kupeleka wagonjwa hospitali
Kweli kabisa watoto wa kishuwa walikuwa wanatusumbua sana na bmx, mountain bike zao,wengine walikuwa na 50 kubongoa zileWa magetini ndiyo wanaojua baiskeli tangu wakiwa wadogo kabisa. Wanaishi kama Ulaya. Ulaya huwezi kukuta mtu asiyejua kuendesha baiskeli kwani tangu utoto wanakuwa nazo.
[emoji2][emoji2][emoji2]Afadhali wewe mjanja hujawahi endesha baiskeli. Wengi wanaondeshaga baiskeli wanaupungufu wa nguvu za kiume kwasababu kile kiti kinadisturb Sana mishipa ya poumbou kwasababu ya kunyonga na kutwist kiuno huku umekalia poumbou na kuzikandamiza kwenye kiti
Kivipi mjamaa aisee..!?Aibu sana
Riding bike ni very importantKivipi mjamaa aisee..!?
But not compulsoryRiding bike ni very important
Enhe kumbe π nilikua nimetoka mjini nimeenda kijijini kwetu, kwa kuona barabara ya kijijini haina magari nikakiwasha π€£[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulijifunzia barabarani wenzio wanajifunzia uwanjani. Shukuru Mungu hukugongwa wewe na gari
Watoto wa mwaka 2000Kipindi nimejua baiskeli those were the funny moments as a child ukitoa kuangalia cartoon. Basi kwenye la 4 ivi nilikuwa napiga round za kutosha kitaa.
Kuna rafiki yangu aliporwa baskeli mitaa ya maandazi road inawezekana wewe ndio mporaji! Alipigwa kibao kimoja cha uso kuja kupata akili kakaa chini baskeli wala aliempiga hamuoni πππKweli kabisa watoto wa kishuwa walikuwa wanatusumbua sana na bmx, mountain bike zao,wengine walikuwa na 50 kubongoa zile
Utotoni nlikuwa nawapora sana baiskeli watoto wa kishuwa wa obay, masaki,adaestate
Maana ukiangalia we kuipata issue
Ova
How? Why? I can't ride a bike and I'm still alive and kicking!Riding bike ni very important
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mie baiskel ilinishinda, siku ya kwanza kufundishwa nilipoanguka na kujifunza kukaishia hapo. Unaambiwa ati ili ujue kuendesha baiskel laziim mpk uumie......kuumia huko vipi [emoji23]
Kwamba haifai au mkubwa hapaswi kujifunza.!?Aibu sio kutokujuwa kuendesha baiskeli.
Aibu ni pale jitu zima linajifunza baiskeli ukubwani.
Hata sio Tena ninauzi nilipost siku yangu ya birthday na niliandika miaka yangu nimekupa chumvi za kutoshaWatoto wa mwaka 2000