Ahsante kwa kunitia moyo lakini inakatisha tamaa sana mkuuMkuu pambana.
Jaribu kuangalia site unayofanyia biashara zako.
Pia competition from your colleagues.
Usikate tamaa pambana.
All the best
Tafuta mtu mwenye kampani na watu wengi mpe kazi ya masokonitumie style gani mkuu?
Mwanzo mgumu mkuuwasalaamu wadau,, nimekuwa kila nikianzisha biashara sitoboi kabisa,..kwa mfano nilikuwa namiliki saloon yangu ya kiume lakini cha ajabu sipati wateja,..yaani unaweza kukaa kutwa nzima ukaambulia vichwa viwili tu,,,siku nikipata wengi ni watatu mwisho,.. vivyo hivyo hata biashara zingine nilizowahi kuanzisha kama vile kuuza nguo na mahindi,...je mimi nakosea wapi wadau? au wengine huwa munafanyeje? karibuni kwa ushauri maana hapa nahisi kushindwa,. sijui bora kuajiliwa tu,..daah
Pia aangalie location,,ukishakosea location,biashara itakufa ama itadumaa,kwasababu hakuna mzunguko wa pesa,Badili style unayotumia
mkuu kwanza hongera sana kwa mpambano!wasalaamu wadau,, nimekuwa kila nikianzisha biashara sitoboi kabisa,..kwa mfano nilikuwa namiliki saloon yangu ya kiume lakini cha ajabu sipati wateja,..yaani unaweza kukaa kutwa nzima ukaambulia vichwa viwili tu,,,siku nikipata wengi ni watatu mwisho,.. vivyo hivyo hata biashara zingine nilizowahi kuanzisha kama vile kuuza nguo na mahindi,...je mimi nakosea wapi wadau? au wengine huwa munafanyeje? karibuni kwa ushauri maana hapa nahisi kushindwa,. sijui bora kuajiliwa tu,..daah
ahsante mkuu kwa ushauri wakomkuu kwanza hongera sana kwa mpambano!
#pili nikushauri yafuatayo
mosi kaa chini jitathmini wewe kama wewe wapi unakosea, zungumza na majiran na wateja wako hapo ulipo juu ya huduma unayotoa, angalia eneo unapofanyia hiyo biashara,tizama mienendo yako mwenyewe means kauli zako kwa wateja zikoje,,tizama mazingira ya ufanyaji kazi yako yanavutia wateja kwa kulinganisha na washindani wako!,angalia bei zako na huduma zako,,tizama marafiki zako maeneo hayo ulipo(ikibidi jenga urafiki na watu unaohisi ndo wateja wako) ikibidi mda mwingine wape offer moja moja na wasikilize shida zao..kiufupi zipo factor nyingi mno kwenye kuendesha biashara na inategemea na biashara yenyewe kwangu mimi hakuna kazi nina yo enjoy kama kuendesha biashara yangu japokua kuna muda napitia magumu mno ila uvumilivu ndo kitu cha msingi na maamuzi magumu kwa wakati sahihi
kwangu mimi nina miaka mitatu kwenye biashara ila cjawahi badilisha biashara ila sijawahi badili aina ya biashara na had napokueleza biashara ndo kwanza nimeanza kuona matunda ya uvumilivu
nashukuru sana kuna umenisaidia mkuuMkuu hiyo hali inatokea watu wengi hasa wanaonza biashara kuumbuka hiyo biashara unayofanya wapo wengi wanaifanya pia so hapo ni kitendo cha kubadili mawazo ya wateja waje kwako wasiende kwa wengine na kuwatafta wapya na hiyo ndio kazi zenyewe wala usifkirie eti sjui mikosi hamna iyo skushauri ufkirie kuajiriwa kwan maana yake umeshindwa kujismamia wataka ukasimamiwe pambana mkuu utatoboa
Mkuu ni kweli ulichosema!Mkuu hiyo hali inatokea watu wengi hasa wanaonza biashara kuumbuka hiyo biashara unayofanya wapo wengi wanaifanya pia so hapo ni kitendo cha kubadili mawazo ya wateja waje kwako wasiende kwa wengine na kuwatafta wapya na hiyo ndio kazi zenyewe wala usifkirie eti sjui mikosi hamna iyo skushauri ufkirie kuajiriwa kwan maana yake umeshindwa kujismamia wataka ukasimamiwe pambana mkuu utatoboa
Mkuu ujaficha kituMchawi ni location akisindikizwa na rafki yake ajulikanaye kama ubora wa huduma unazotoa , narudia tena mchawi ni location.....ukikosea location wafaaaaaaaaaaa no mercy and no compromise....!!! Yaan hyo factor inastand alone haihtaji mbwembwe za kusali ama kuroga ......
Connection zipo kila sehemu mkuu.Mkuu ni kweli ulichosema!
Ila cha kujiuliza kwa mfano location za mjini kuna kujuana??
Kule nina imani kuna watu tofauti tofauti..Lakini Mr X ana msururu wa wateja hadi kero chanzo haswa ni nini???
Asilimia kubwa sana ya wafanyabiashara wanatumia nguvu za giza/Mungu/ ni nyota ya Mtu.