Kuendesha gari kwa mkono mmoja

Kuendesha gari kwa mkono mmoja

Mimi niko comfortable either way inategemeana tu na speed niliyonayo na njia ilivyo. Kuendesha kwa mkono mmoja inaweza ikawa salama au si salama kulingana na mwendo unaotembea nao na mkono wako umeuweka kwenye position ipi katika usukani wako.
 
Hata mimi hivyo hivyo nikishika kwa mikono miwili nakuwa siko comfortable, halafu mbaya zaidi ninaendesha kwa miguu miwili hata automatic mguu wa kushoto ndo unashika brake wanasema ni risk lakini nikijaribu acha nikatumia wa kulia nashindwa. Ni mwaka wa 12 sasa na sijawahi pata ajali.
Mkuu! Hii ya kuendeshea miguu miwili hata me ndivo nilivyo! Nimejaribu kuacha nimeshindwa.

Nimeendesha hadi mikoani for long route hivyo hivyo na najisikia comfortable.
For Autos!
 
Mkuu! Hii ya kuendeshea miguu miwili hata me ndivo nilivyo! Nimejaribu kuacha nimeshindwa.

Nimeendesha hadi mikoani for long route hivyo hivyo na najisikia comfortable.
For Autos!
Ahhh ila nihatar [emoji28]
 
Duhhhh......
Humu ndani naona nimimi tu ndie sijamiliki chuma hapa mjini...[emoji849][emoji849]
Nawewe naomba nikupe pongezi mkuu...
Na watoto wazuri unapata japo huna chuma ya mjep😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom