LAPTOP2016
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 728
- 2,140
Lipa kwanza hiyo elfu 30.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hakika kama ni kosa, maana katika zile Basic Traffic Offences, ambazo zipo 20, hakuna kipengele kinachotaja aina ya viatu anavyopaswa dereva avivae.Wakuu salama za sikukuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nimetoka zangu gereji naingia tu. Main road hapa maeneo ya mianzini. Nikasimamishwa na traffic. Kaanza na mambo yambo yake, naomba leseni yako, nikampatia. Akanibambikia makosa yake kaanza eti naongea na simu nikalichomoa,
kubwa kuliko akaniambia naendesha nikiwa nimevaa sandles (nimevaa viatu vyisivyo na kamba ya nyuma).
kanikomalia hapo, afu hapo faini ya 30 sina.
Nikabembeleza balaa.
Jamani naomba kuuliza eti ni kosa kuendesha gari ukiwa umevaa sandles.
Wenye ujuzi wa makosa ya barabarani. Hili nalo lipo kwenye list.
Yap! Kuendesha gari kwa njia hatarishi.Kuna sheria na kanuni za sheria, hilo la simu lipo ktk kanuni za sheria ya usalama barabarani