habari za leo ndugu wana jukwaa,
hua ninapata shida sana wakati wa mvua kuendesha gari maana kuna ukungu hua unatokea kwa ndani kwenye kioo cha mbele, hivyo huathiri kwa kiasi kikubwa uwezo wangu wa kuona barabara vizuri.
Lakini kwa upande wangu hali ikiwa hivyo wenzangu wananipita kwa kasi sana kana kwamba hakuna mvua je ni mbinu gani hasa zinazo tumika ili kuhakikisha kioo cha mbele kinakua kikavu (bila ukungu kwa ndani)?, natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
ha haKwa Michango Ya Hapo Juu Labda Useme Vifaa Vyote Vibovu Ulivyoelekezwa, Hadi Vioo
Thread Closed!!!
Wacha weee....AC mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Washa AC ya gari
Hebu nidadavulie best yangu...ndo kibutton gani hicho?Bonyeza defrost button.,ukungu wote kushnei.
Hahaha aisee.
Haahaaa....nataka option nyingine, AC naiwasha nadra sana[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Hahaha aisee.
Mkuu kunakua button 2 ziko sehemu 1.
Asante sana best...mi najuaga AC tu hahaaMkuu kunakua button 2 ziko sehemu 1.
moja ya kioo cha nyuma nyingine ya kioo cha mbele.,ukibonyeza hio kama unataka kioo cha mbele/nyuma ukungu uishe ni dakika 0 tu mkuu.
Andika tu defrost button kwny google then utaiona ina vialama flan hivi mkuu.
Nimefurahi ulivyomjibu khs a/c maana kuna watu ile harufu ya a/c hawaipendi kabisaa sasa mvua ikinyesha wao bora wapaki tu gari.Haahaaa....nataka option nyingine, AC naiwasha nadra sana[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app