mashonga
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 595
- 970
habari za leo ndugu wana jukwaa,
hua ninapata shida sana wakati wa mvua kuendesha gari maana kuna ukungu hua unatokea kwa ndani kwenye kioo cha mbele, hivyo huathiri kwa kiasi kikubwa uwezo wangu wa kuona barabara vizuri.
Lakini kwa upande wangu hali ikiwa hivyo wenzangu wananipita kwa kasi sana kana kwamba hakuna mvua je ni mbinu gani hasa zinazo tumika ili kuhakikisha kioo cha mbele kinakua kikavu (bila ukungu kwa ndani)?, natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app