Hahah hii option naonaga ndio rahisi zaidi kwangu mkuu,itest nawe uone mkuu.
Ewaaaa....mi siipendi kabisa, nikiiwasha tu kifua kinabana, nakosa hewa daaah[emoji9]Nimefurahi ulivyomjibu khs a/c maana kuna watu ile harufu ya a/c hawaipendi kabisaa sasa mvua ikinyesha wao bora wapaki tu gari.
Mi natumiaga tu hui defrost button kwny mvua mkuu.
Aisee hata mimi a/c ni allergy sana kuitumia ni basi tu mpk nione hali ni tete lkn la sivyo sinaga mzuka nayo.Ewaaaa....mi siipendi kabisa, nikiiwasha tu kifua kinabana, nakosa hewa daaah[emoji9]
Kumbe tuko wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hiki chenye vimstari vingi, pembeni ya AC?Hahah hii option naonaga ndio rahisi zaidi kwangu mkuu,itest nawe uone mkuu.
Ndio mkuu,hicho hicho.
Wooooow!...kitanikoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Ndio mkuu,hicho hicho.
Nimetisha sana kukapata ako kaalma kwenye keyboard emoj, nilikua namaanisha haka kadude ndiyo mpango, tena unawasha feni kwenye upande wa joto then unakabonyeza na hako,
Hahah hamna noma mkuu,ukipiga defrost yako ni mwendo kutembea kwny mvua kama juani vile.Wooooow!...kitanikoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Kuna Vibutton vingi kwenye hili gari sivijui ukute vingenisevu tuu,....nikitulia ntakutumia PM unieleweshe best
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan ungecheka miaka yote napata shida kweli asee[emoji44][emoji44]..huwa natamani hata mimi kupaki kwa sababu ya hiyo ishu, Ila najiuliza mbona wengine wananipita shaaa! Wanatumia nini?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]...tena hawa wenye Prado doooh!Hahah hamna noma mkuu,ukipiga defrost yako ni mwendo kutembea kwny mvua kama juani vile.
Hahah acha mzungu aitwe mzungu alifikiria mpk kwny mvua watu wenye haraka zao wataendeshaje,hahah.Yaaan ungecheka miaka yote napata shida kweli asee[emoji44][emoji44]..huwa natamani hata mimi kupaki kwa sababu ya hiyo ishu, Ila najiuliza mbona wengine wananipita shaaa! Wanatumia nini?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]...tena hawa wenye Prado doooh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa....kipindi cha mvua huwa naendesha spidi ndogo like 20sp[emoji1787][emoji1787]....sasa hivi ikinyesha tu 140 inanihusu, haaahaaaaHahah acha mzungu aitwe mzungu alifikiria mpk kwny mvua watu wenye haraka zao wataendeshaje,hahah.
Sa hivi utakua ni mwendo wa kuwa overtake tu.
UNAWEZA WEKA JOTO PIA ILA HAKIKISHA HIZI VENT ZIPO WAZI WENGINE MNAWEKAGA UREMBO WA KITAMBAAMaana AC sio mchezo na unakuta kuna baridi mvua inapiga nje halafu unatia na AC ahhhh ni balaaaa hati unaweza freeze
Ndo ikoje hyo button?Bonyeza defrost button.,ukungu wote kushnei.