kuendesha gari wakati wa mvua

kuendesha gari wakati wa mvua

Ukiwasha AC ya gari kuna kitufe pembeni huwa kimechorwa alama fulani kama vimstari vingi hicho kitufe ni kwaajili ya kutoa ukungu kwenye kioo cha gari
 
Hicho kitufe kina alama hii [emoji621]️ na ndiyo kazi yake kutoa ukungu
 
WACHA A/C

How_to_demist.jpg
 
WASHA A/C WEKA JOTO BARIDI KISHA BONYEZA HIVYO VITUFE KILA KITU KINAKUWA SAAAAFI

KAMA GARI YAKO INATUMIA VITUFE VYA KUZUNGUSHA ANGALIA HAPA CHINI

Auto-AC.jpg
aid8941728-v4-728px-Diagnose-a-Non-Working-Air-Conditioning-in-a-Car-Step-1-Version-3.jpg
a4ots.jpg
Auto-AC.jpg
 
Maana AC sio mchezo na unakuta kuna baridi mvua inapiga nje halafu unatia na AC ahhhh ni balaaaa hati unaweza freeze
 
Hahah hamna noma mkuu,ukipiga defrost yako ni mwendo kutembea kwny mvua kama juani vile.
Yaaan ungecheka miaka yote napata shida kweli asee[emoji44][emoji44]..huwa natamani hata mimi kupaki kwa sababu ya hiyo ishu, Ila najiuliza mbona wengine wananipita shaaa! Wanatumia nini?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]...tena hawa wenye Prado doooh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah acha mzungu aitwe mzungu alifikiria mpk kwny mvua watu wenye haraka zao wataendeshaje,hahah.

Sa hivi utakua ni mwendo wa kuwa overtake tu.
 
Hahah acha mzungu aitwe mzungu alifikiria mpk kwny mvua watu wenye haraka zao wataendeshaje,hahah.

Sa hivi utakua ni mwendo wa kuwa overtake tu.
Kabisa....kipindi cha mvua huwa naendesha spidi ndogo like 20sp[emoji1787][emoji1787]....sasa hivi ikinyesha tu 140 inanihusu, haaahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom