Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ili walau kiongozi huyo abaki na heshima aliyonayo hivi sasa aliyoijenga kwa muda mrefu sana, lakini pia kuepuka kufilisika uzeeni maana uchaguzi ni gharama sana.
lakini pia kuepuka kuaibisha ndugu, jamaa, marafiki na chama husika kwa kushindwa vibaya kwa fedhaha uchaguzi ujao. na zaidi sana pia kuepuka kupoteza muda, mali na nguvu ambazo huenda zingesaidia kwenye mambo mengine muhimu ya maisha n.k
lakini pia kuepuka mstuko ambao unaweza kutokana na matokeo mabaya ukilinganisha na matarajio makubwa, ambapo hali hiyo inaweza kusababisha changamoto za kiafya...
ni kiongozi gani wa upinzani nchini yafaa ashauriwe kuachana na mpango huo badala yake aendelee na mambo yake mengine ya maisha?
kwasababu ni vizuri tukaelezana ukweli kwamba mazingira ya siasa za Tanzania kwasasa yanamfavor sana mama Dr.Samia Suluhu Hassan, influence yake katikati siasa za kimataifa imemfanya Dr. Tulia Akson kua Rais wa shirikisho la mabunge duniani IPU, influence ya Dr. Samia ndio imemuweka Dr.Faustine kua mkurugenzi mtentaji mkuu wa WHO kanda ya Africa, lakini pia influence ya Dr. Samia itamfanya Raila Amolo Odinga kuwa Chairman wa Tume ya Umoja wa Africa AUC..
so, influence ya Dr. Samia Suluhu Hassan Tanzania na katika siasa za kitaifa imejaa na kufurika ndani ya mioyo ya waTanzania wote, na kimataifa, influence ya Dr.Samia ni moto wa kuotea mbali, aisee dah!
Atakae thubutu kumchalenge ataishia kupata fedheha na aibu tu kwa familia na chama chake kwenye sanduku la kura...🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Pia soma:Kuelekea 2025 - Upinzani nchini hauna ngome wala uhakika wa kushinda hata kiti kimoja kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa wala uchaguzi mkuu baadae mwaka ujao