Pre GE2025 Kuepuka fedheha ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu ujao unamshauri kiongozi gani wa upinzani, busara imuelekeze kutokuthubutu kugombea Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hujui hata Kama kesho utaamka ila umekomalia uchaguzi mkuu wa mwaka kesho. Mnafiki Sana.
kwa Neema na Baraka za Mungu nina hakika mpaka 2025 Dr.Samia Suluhu Hassan atakapokua anawashinda wanaume watu wazima pamoja na vibaraka wa mabwenyenye wa magharibi, nitakuepo kushuhudia hilo nashukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na afya na kibali chake kwangu πŸ’

kwasabb ya ushirikina wako na imani haba na potofu ndio maana huna hakika hata wa kesho yako, lakini mbaya zaid huna mipango yoyote kabisa ya walau kubadilisha aina ya malalamiko na mihemko yako na mwaka unafikia ukingoni,dah πŸ’
 
Samia Suluhu Hassan
 
Ungeanza kutoa ushauri:-
1-kutokuja na maboksi yenye kura tayari.
2-kuacha wapigakura wawe huru.
3-wakipiga kura wawepo na wakati wa kuhesabu.
4-watumishi wa umma (walimu,watendaji,wakurugenzi,TISS,polisi nk wakae pembeni)
5-kukimbia na maboksi ya kura iwe haramu.
6-mitandao ya kijamii/intaneti iwe hai/on muda wote.
7-matokeo yatangazwe bila vigugumizi.
Halafu ndiyo urudi hapa.Kama hautalia huku mdomo umekupanuka hadi unagusana na masikio.
 
Samia Suluhu Hassan
unahitaji elimu, ufahamu na uelewa zaid wa wa hoja mahususi mezani ama vinginevyo itakua ngiliba tu, uchoyo na ubinafsi hutaki kushauri na kutoa mapendekezo kwa wahusika πŸ’
 
nazungumzia ushauri kwa wagombea mahususi wa urais upinzani gentleman, hayo mengine ni story for other day, right 🀣
 
Mtoa mada anatamani kufuuta Uzi ,asiweze.πŸ˜€
mie sio mtoa mada tu, bali pia ni mkufunzi mbobevu mwandamizi,

na kwahivyo siwezi kutamani kua mshirikina kama ulivyo na mwenye Imani potofu kama yako πŸ’
 
nazungumzia ushauri kwa wagombea mahususi wa urais upinzani gentleman, hayo mengine ni story for other day, right 🀣
Utawashauri nini wagombea wakati mazingira na sheria za uchaguzi si rafiki kwao?Wewe acha kuzunguuukaaa na kuona wanaJF ni mbugilautini.Ungeandika tu,mnamshauri nini............ anayetarajiwa kuwa mgombea wa chama fulani/pinzani?Na ninajua umemlenga nani anayekutesa na kukuacha na uoga utadhani unatazama filamu ya kutisha peke yako gizani/horror movie.
 
nadhani ni muhimu kupendana,

sasa kwa mfano unamuona kabisa mtu fulani haiwezi kufua dafu kwa namna yoyote hata kufanya kampeni mikoa miwili tu nchini, unampamba eti anakubalika na anaweza kua mshindi wa Urais kweli?🀣

tuwe wangwana, tushauriane mambo ya maana katika muda na wakati muafaka ndrugu zango,

tuambiane tu ukweli πŸ’
 
Umebobea katika Ujinga.

Kiongozi anayefukuza raia wake Ngorongoro agombee Ili iweje?
relax tuliza mihemko,

if you can't fight them join them ni kanuni muhimu mno ya mapambano na kuepusha matatizo ya kiafya hususani kiakili, jitafakari πŸ’
 
Kama uliweka mkono wako shavuni kama stendi ya bodaboda unamuwaza mtu fulani ni dhaifu akigombea dhidi ya umtakae,hauoni ni faraja kubwa sana kwako?Wenye akili wangekushauri utulie ili ashindwe ufurahi.Kwani umekaa na akina nani hapo jirani yako hadi wanakwama kukushauri?
 
mie sio mtoa mada tu, bali pia ni mkufunzi mbobevu mwandamizi,

na kwahivyo siwezi kutamani kua mshirikina kama ulivyo na mwenye Imani potofu kama yako πŸ’
Kazi imekuwa ngumu sana hii unayo fanya humu JF. Sasa inakuonyesha kuwa juha tu aliye changanyikiwa!
 
relax tuliza mihemko,

if you can't fight them join them ni kanuni muhimu mno ya mapambano na kuepusha matatizo ya kiafya hususani kiakili, jitafakari πŸ’
If you can't fight them, join them!

Kumbe ndio sababu kuu ya CCM Kutoa pesa kwenye chama kumchangia Lissu Kwakuwa mnamwogopa sio!!
 
If you can't fight them, join them!

Kumbe ndio sababu kuu ya CCM Kutoa pesa kwenye chama kumchangia Lissu Kwakuwa mnamwogopa sio!!
hata gari jipya akitaka nadhani CCM wako tayari kumpatia,
by the way tabia yake ya kuomba omba kuchangiwa atachangiwa sana tu na hao CCM, si umeona hata tone na body language yake imechange gafla 🀣

anajua kuobserve table manners kwamba ukiwa una chakula mdomoni hutakiwi kuzungumza 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…