Kuepuka lawama situmii tena WhatsApp

ukinirahisishia wewe utapungukiwa nini
mimi nilishaachana na mambo ya smartphone mkuu,old way is my way,natumia tu kitochi...nilichoka kuwa mtumwa wa teknolojia isiyo na tija maishani mwangu...but now nipo huru na kitochi changu cha nokia...nafurahia,siwazi chaji wala mambando tunayoibiwa kila kukicha..
 
Very true mkuu.
 
Gbwhatsap ina future tele mpaka unaweza kutoa blue tick au second tick mtu anajua text haijasomwa au kufika kumbe umeshaisoma na kumvungia
 
Wewe upo kama mimi
 
Gbwhatsap ina future tele mpaka unaweza kutoa blue tick au second tick mtu anajua text haijasomwa au kufika kumbe umeshaisoma na kumvungia
Mi natak wale ambao sijasave namba zao wasione stastus zangu ipo hiyo owenye Gb
 
Kuna option ya kuonekana dormant kumbe uko online
 
Ukitaka unaseti usionekane online wala hizo ticks asizione mtu, ila ujue na wewe hutoona za mtu mwingine yoyote!
 
Polee sana Mkuu,ukiona hivyo unajiongeza tu,kwamba huyoo mtu hataki umtumie msg ndio maana anakukazia na wewe unakausha!

Kwahiyo mtu mmoja anakufanya uache kutumia WhatsApp?
Akikujibu nitag Mkuu!
 
Tumia sanduku la Posta. Hakuna hata atayekuwa na uhakika kuwa barua yako imefika...
 
Polee sana Mkuu,ukiona hivyo unajiongeza tu,kwamba huyoo mtu hataki umtumie msg ndio maana anakukazia na wewe unakausha!

Kwahiyo mtu mmoja anakufanya uache kutumia WhatsApp?

Mimi ndiye sitaki kuwajibu maana mimi nikiona hujibu text nakupandia hewani tumalizane, au inatokea mtu unakuwa busy lakini kisa anakuona online, au blue tick wanakuwa na lawama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…