hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
mbona kwenye setting ya Whatsaap hiyo hiyo mkuu " unapata...ila ukitoa blue tick "" hata wewe unakuwa hauoni blue tick toka kwa mwenzio...pia waweza "" kuamua ..unataka watu wangapi ambao watakuwa wanaiona dp yko...""Hiyo option iko wapi mkuu?au ndio kwenye GB whatsapp?