Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
asante kwa usahihiPRAY
PLAY
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante kwa usahihiPRAY
PLAY
ukinirahisishia wewe utapungukiwa niniomba link humu wakutumie
Mfyuuuuu uniacheeeeYamebaki magagulo ya Fox na Demiss.
mimi nilishaachana na mambo ya smartphone mkuu,old way is my way,natumia tu kitochi...nilichoka kuwa mtumwa wa teknolojia isiyo na tija maishani mwangu...but now nipo huru na kitochi changu cha nokia...nafurahia,siwazi chaji wala mambando tunayoibiwa kila kukicha..ukinirahisishia wewe utapungukiwa nini
Very true mkuu.mimi nilishaachana na mambo ya smartphone mkuu,old way is my way,natumia tu kitochi...nilichoka kuwa mtumwa wa teknolojia isiyo na tija maishani mwangu...but now nipo huru na kitochi changu cha nokia...nafurahia,siwazi chaji wala mambando tunayoibiwa kila kukicha..
Wewe upo kama mimiSimu yako mwenyewe,line yako,bando lako iweje ujikalifishe nafsi,kwani lazima kumjibu,mi nikiamua sikujibu text wala calls na huniambii chochote na tukikutana mtaani nakuwekea tinted vilevile,hata kama unanidai,ukitaka nikujibu nininulie simu na uniwekee kifurishi,lakini sio unletee utawala wako kwenye mali yangu.
Mi natak wale ambao sijasave namba zao wasione stastus zangu ipo hiyo owenye GbGbwhatsap ina future tele mpaka unaweza kutoa blue tick au second tick mtu anajua text haijasomwa au kufika kumbe umeshaisoma na kumvungia
Kuna option ya kuonekana dormant kumbe uko onlineHamna kitu kinanikera kama
“nakuona online”,
“[emoji848] blue tick no reply”,
“mzee baba unasoma meseji zangu hujibu”
Ninaudhika sana hivyo nimeamua sitaki tena whatsapp tuma meseji ya kawaida kama ina umuhimu nitajibu kama haina hutakuwa na uhakika hata kama nimeona
Ukitaka unaseti usionekane online wala hizo ticks asizione mtu, ila ujue na wewe hutoona za mtu mwingine yoyote!Hamna kitu kinanikera kama
“nakuona online”,
“[emoji848] blue tick no reply”,
“mzee baba unasoma meseji zangu hujibu”
Ninaudhika sana hivyo nimeamua sitaki tena whatsapp tuma meseji ya kawaida kama ina umuhimu nitajibu kama haina hutakuwa na uhakika hata kama nimeona
Unaweza select watu wanaotakiwa kuona status zako na wengine ukawaachaMi natak wale ambao sijasave namba zao wasione stastus zangu ipo hiyo owenye Gb
Akikujibu nitag Mkuu!Polee sana Mkuu,ukiona hivyo unajiongeza tu,kwamba huyoo mtu hataki umtumie msg ndio maana anakukazia na wewe unakausha!
Kwahiyo mtu mmoja anakufanya uache kutumia WhatsApp?
Hata normal whatsapp ipo hiyo kitu na mbona ni simple tu.Mi natak wale ambao sijasave namba zao wasione stastus zangu ipo hiyo owenye Gb
Polee sana Mkuu,ukiona hivyo unajiongeza tu,kwamba huyoo mtu hataki umtumie msg ndio maana anakukazia na wewe unakausha!
Kwahiyo mtu mmoja anakufanya uache kutumia WhatsApp?