mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Kwangu ni kiarabu
Hii comment umetuma na kitochi mkuu? 😛mimi nilishaachana na mambo ya smartphone mkuu,old way is my way,natumia tu kitochi...nilichoka kuwa mtumwa wa teknolojia isiyo na tija maishani mwangu...but now nipo huru na kitochi changu cha nokia...nafurahia,siwazi chaji wala mambando tunayoibiwa kila kukicha..
Inategemeana kuna settings nyingine wanakuambia kbsa sms will delay hasa ukiondoa blue ticksShida yake sms haziingii on-time, hadi uilaunch app ndio sms zinaingia
Hebu nifundishe namie rafiki niwakomesheWewe ni mshamba hujui kufanya setting za whatsapp yako!
Nipe darsaGbwhatsap ina future tele mpaka unaweza kutoa blue tick au second tick mtu anajua text haijasomwa au kufika kumbe umeshaisoma na kumvungia
Ha haaa mshenzy huyu
...View attachment 799089View attachment 799090View attachment 799091View attachment 799093Unaweza select watu wanaotakiwa kuona status zako na wengine ukawaacha
Mtu mpaka aone status yako lazima umsave kama hujamsave hawezi kuona.Mi natak wale ambao sijasave namba zao wasione stastus zangu ipo hiyo owenye Gb