Kuepuka lawama situmii tena WhatsApp

Kuepuka lawama situmii tena WhatsApp

mimi nilishaachana na mambo ya smartphone mkuu,old way is my way,natumia tu kitochi...nilichoka kuwa mtumwa wa teknolojia isiyo na tija maishani mwangu...but now nipo huru na kitochi changu cha nokia...nafurahia,siwazi chaji wala mambando tunayoibiwa kila kukicha..
Hii comment umetuma na kitochi mkuu? 😛
 
Hili chambo nishamaliza kabisa ..my WhatsApp ina contact 7 tyu za muhimu .. niliwai kuwa na contact 190 hazina faida ..huwasiliani nao ata mwezi kumalizana mb na status ,,chagua uamuzi sahihi chagua watu wakukuzunguka
 
nina nokia yangu n73 naitumia kuingia jf kama kawa, tangu waliponipiga samsung yangu A7 ya 2017 sina hamu kwa kweli
 
Unaweza select watu wanaotakiwa kuona status zako na wengine ukawaacha
...View attachment 799089View attachment 799090View attachment 799091View attachment 799093
Screenshot_20180609-225625.jpg
 
Back
Top Bottom