Kuepuka lawama situmii tena WhatsApp

Kuepuka lawama situmii tena WhatsApp

Hiyo option iko wapi mkuu?au ndio kwenye GB whatsapp?
mbona kwenye setting ya Whatsaap hiyo hiyo mkuu " unapata...ila ukitoa blue tick "" hata wewe unakuwa hauoni blue tick toka kwa mwenzio...pia waweza "" kuamua ..unataka watu wangapi ambao watakuwa wanaiona dp yko...""
 
Sasa Gb unatoa watu wasione tick zako ila ww unaona zao
 
Binasfsi usipojibu msg au Ku call back kinchofuata ninkufuta namba yako. Kuna bwege alifanya hivyo ktk mishe za kusaka pesa nikakausha mpka nilipoona msg yake kuwa anaoa anataka mchango nikaisoma halafu nimekula buyu mpka leo......
kuna watu wajaab hawajawai kuonekana tangu Uhuru......
 
mimi nilishaachana na mambo ya smartphone mkuu,old way is my way,natumia tu kitochi...nilichoka kuwa mtumwa wa teknolojia isiyo na tija maishani mwangu...but now nipo huru na kitochi changu cha nokia...nafurahia,siwazi chaji wala mambando tunayoibiwa kila kukicha..
sawa hongera
 
Sasa hii GB whatsapp kwa watu tunaotumia iphone haiwezekani
 
Hio Gb WhatsApp kama sio mtaalamu itakusumbua sana wakati wa kui update maana inatumia kichina
 
mimi nilishaachana na mambo ya smartphone mkuu,old way is my way,natumia tu kitochi...nilichoka kuwa mtumwa wa teknolojia isiyo na tija maishani mwangu...but now nipo huru na kitochi changu cha nokia...nafurahia,siwazi chaji wala mambando tunayoibiwa kila kukicha..
Na Jamii forum umecoment na kitochi chako cha Nokia mkuu..
 
Back
Top Bottom