Kuepuka Radi kwa kufuga Kondoo

Status
Not open for further replies.
Halafu mtu kama wewe unajisifu umeenda shule!?
Teh teh teh teh!

Afadhali nimedaka hapa unaandika utumbo! Ntauhifadhi huu utumbo siku nyingine ukileta yale majigambo yako ya kusema wewe msomi!

Radi ya jogoo my foot!

Usitake kuthibitisha ujinga wako hapa. Mara zote -------- huzunguka akitafuta neno moja ang'ang'ane nalo hilo. Logic kwake ni sifuri.

Nimeandika kuthibitisha kwamba alichosikia mleta mada hata mimi nimekishuhudia huko Shinyanga. Halafu taahira mmoja ambaye kazi yake ni kuchafua hoja za watu jamvini anajaribi kuleta spinning. Hicho kichwa umeshikiwa na jeshi lililo nyuma yako. You need Jesus Christ.
 

Teh teh teh!
We unasema umeona radi kama jogoo!!
Kwi kwi kwi kwi!
Hivi unataka kutufanya sisi mambulula kama wewe sio??
Watu wazima na akili zetu tuone unaandika utumbo hapa halafu tukutizame tu!
Ng'ombe pia ana afadhali!

We ukimuuliza Yesu kuhusu hilo jogoo ulilo liona shinyanga unadhani atakubali??
Teh teh teh tehe! Leo we mbulula umenichekesha sana!
 
Thanks kwa ufafanuzi mzuri na wa wengine wote walionielewa nililotaka kufahamu.
 
Thanks kwa ufafanuzi mzuri na wa wengine wote walionielewa nililotaka kufahamu.
Nami nichangie kama huyu bwana aliyetoa ufafanuzi wa viumbe namna vinvyoweza kutambua yaliyopo mbele katika mazingira yake(natural setting) nikiwa mdogo enzi za kuchunga nilielekezwa na babu kuwa ikianza mvua ukaona kondoo anapiga vichwa miti na hataki kuondoka wewe mwache hapo hapo swaga ng'ombe ondoka! Sasa kuna matukio kama mawili hivi nayakumbuka, nikiwa machungoni, kulianza dalili za mvua na muungurumo wa radi, kukawa kunatokea ile hali ya kondoo kubadilika na kuwa mbishi na mara anajikunyata then anajirusha kwa staili ya kushambulia. Baadaye kidogo nilipoondoka mazingira hayo kwa mbali zilitokea sauti kuubwa zilizoambatana na miale ya radi Ambapo mti uliokuwepo eneo karibu na kondoo yule ulichanwachanwa vipande vipande lakini kondoo hakupata jeraha na alirejea mwenyewe baada ya muda mrefu tangu mvua kwisha.
Inaelezwa kuwa kichwa cha kondoo ukikipasua ambayo pia nimeshuhudia kuna wadudu wawili kwa lugha ya kawaida vijijini tunaita mafilifili ambao hawa wanamwezesha kuona mambo yaliyobeyond sayansi zetu za chemistry is a branch of...... Na kwa maelezo ya mchangiaji nikiunganisha na yale matukio naipata ile picha ya namna kondoo yule alivyokuwa akikusanya nguvu na kujitupa kwa kugonga kichwa kwenye mti, tukio la pili wakati anafanya hivyo kujitupatupa, ng'ombe dume alijipendekeza baaasi alipigwa kichwa kimoja akalala kifo cha mende hadi kifo! Kilichoendelea ni kwensa kutoa taarifa nyumbani! Hapo ni mkoa wa Iringa nayakumbuka haya!
 
Nimekupata vizuri sana Mlendamboga nazidi kupata upeo.
 
Last edited by a moderator:
Thanks you've put it more scintifically CYBERTEQ,nimeipenda.
 
Last edited by a moderator:
Mi nawashangaa sana watu humu JF,mtu analeta mada nzuri ya kuelimisha,anaibuka mjinga mmoja na kusema eti we hujaenda shule,mara hizi ni imani tu,jamani mi nasema,aliyelala usimwamshe,ukimwamsha unalala wewe,watu wengi humu JF ni wapuuzi sana,hawana akili ya kutaka kujifunza,wamejaa ujinga na ujuaji usiokuwa na kichwa wala miguu,ndo maana baadhi wanasema hakuna MUNGU,wapumbavu.
 
Badala ya kutumia Lightning Conductor kuna umuhimu wa kutumia kondooo sasa
 
Honestly,hata mm nmewah kuckia hlo inaweza ikawa kweli ni kweli radi inavyokuwa inapiga wale kondoo wanarudi kinyumenyume
inaweza ikawa
sidhani kama ni kweli , unajua kondoo huwa hapendi mvua impige usoni na ndiyo maana anaainamisha kichwa chini , na pindi anaposikia kitu cha kumshtua aidha mwanga au mlio huwa ana mtindo wa ku react na kusogea mbele , sasa in local belief wanadai ame fight na radi kumbe hamna lolote zaidi ya mawenge tu ya kondoo
 
Badala ya kutumia Lightning Conductor kuna umuhimu wa kutumia kondooo sasa

Tatizo watu wanaamini zaidi sayansi za kizungu zilizoandikwa kwa kiingereza kigumu ndio wakubali kuwa ni sayansi.Hizi za sayansi za kiafrika hata wasomi wa kiafrika hawahangaiki nazo hata kuzifanyia tafiti wakati wakiwa likizo.Kwao tafiti lazima ziwe za kiingereza na ziwe funded na donor mzungu na reference za tafiti zi-quote wazungu walisemaje ndio ziwe tafiti zinazokubalika!!!!!!!!!!!!!

Kondoo aweza kuwa better conductor wa radi kuliko hiyo conductor ya mzungu ambayo ni made in England.Kazi kwenu watafiti.
 
Mbona kijijini kwetu mvua ikiwa kubwa sana tena ya kuambatana na radi, wanachofanya ni kuchukua chupa yenye konyagi ndani yake na inawekwa mlangon. hakna cha radi wala nini.
 

hata we ni bingwa wa matusi ulisema mungu wako sijui anaitwa allah vile kama sikosei eti akishaaamua upate ajali lazima upate nikakuuliza mungu wako hakupendi au vipi hadi anataka kukuumiza tu utake ustake ukaanza matusi how dare uku una waacuse watu kua ni wavuta bangi kwa kuongea matusi ina maana na wewe unapotukanaga unakua umevuta bangi???
 
Mkuu bona nashukuru kuwa na wewe umemsoma huyo mwana JF mwenzetu alivyo na kashfa za kishamba!
 
Last edited by a moderator:
ukitaka kujua anazuiaje radi mchukue kondoo mpige shoti ya umeme hapo utaelewa.... tehhee teehheee
 

pumba tupu
 
Wote nyie hakuna hata mmoja aliyeishi na kuchunga mifugo - Ukiwa kwenye machunga then mvua kubwa ya radi ikaanza kunyesha hapo ndipo utajua rule ya Kondoo ukitofautisha na mbuzi, ngombe na mbwa!!
 
Everything can be traced back God's ultimate plan ROM.11:36.Ecclesiastes 3:15
 

We kijana una matatizo mengi sana!
Na moja wapo.ni lugha!
Lazima utofautishe (will of God) na (Act of God)
Na somo.kama hili kwako wewe linataka muda sana kujaribu kulielewa ndio maana nikakujibu vibaya kwa sababu uliropoka bila kufikiri.

Halafu Wewe mara zote argument zako hazikuletei faida wewe wala wasomaji zaidi ya kujaza server.

Unaweza kulinganisha statement yangu hapo nyuma na zile za kwako??

To start with kwa kauli yako mwenyewe ni mtu mwenye kukataa kuwepo kwa MUNGU!

Sasa how come unaingiza pua yako kwenye religion discussion!
Or is it because you got the fingers to type in any garbage you want??

Kama unapenda kufanya discussions na watu wenye kukubali kuwa MUNGU YUPO, Then join the club! And choose one!
There is galatians, the black jews, the hell angels , the KKKKKT or the SUBMITERS! And many more.

Unadandia basi linalokwenda Chicago wakati wewe unaishi alabama!!? Lini utafika??

Make your mind up!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…