stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
- Thread starter
- #41
Mkuu FUSO umenikumbusha back to 1990's nilikuwa naishi Morogoro,Radi ilipiga mida ya saa 9 mchana kulikuwa hakuna wingu hata moja tulichoshuhudia ni mnazi kukatika katikati na matawi yake kuungua to ashes.yes mkuu, ni vigumu pia kwa great thinker kuamini kwamba mtu anaweza kupigwa radi wakati wa jua kali bila wingu hata moja.
Last edited by a moderator: