Kuepusha ulawiti, walimu wa madrassa wawe wanawake tu!

1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga.

Soma: Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia

2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi.

3. Watoto Wana haki ya kulindwa na hatari ya kulawitiwa.

Wabillah Taufiq
@dgwajima
Wakristo shughulikieni dini yenu ya huku hayawahusu

Gwajiboy live kapiga mzigo huku anajirikodi ety imetengenezwa

Kule katoliki uchafu wa ulawiti umejaa na uzinzi

Kanisani mnaenda na mavazi ya ovyo full kutamanishana baada ya hpo usiulize kitokeacho

Zima moto kwako kwanza hlf ndo ukazime kwa jirani
 
Proud to be tuliza wenge.
 
Back
Top Bottom