Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
wakamatwe na wa hasiwe hadharani, yalab wallah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumalize na hapa, ufir.aji ni sunna?Hv kuna madrasa zinaongozwa na wanawake? Tuanzie hapo naomba kueleweshwa
Labla inawezekanaTumalize na hapa, ufir.aji ni sunna?
Ukali wao si ktk kulisha mtu sumu,ni katika kunyoosha mtoto ktk makuzi.Si muda mrefu kazi nyingi utaomba km ni mwanaume hupati, wale wanaoponda wanawake wanazidi kuumia,
Ila hili liende mpaka makanisani hasa RC, pamoja na kuwa wale masister wao sijui wanawavutishaga bangi wana roho mbaya sijapata kuona, mfano ni mamangu wa kambo mshua alimtolea kwenye usister ila bonge moja ya katili
Nimeishi na ndg masister kuna ndg wamelelewa kwenye vituo vyao nawajua vizuri mno, wengi ni mabandidu wana ukali wa kiroho mbaya, wachoyo sana, na walafi mno kwenye mambo ya misosiUkali wao si ktk kulisha mtu sumu,ni katika kunyoosha mtoto ktk makuzi.
Shule za makasisi ukiitwa kwa ajili ya mwanao jua unarudi naye home hata ukajieleze umevaa rozali haitasaidia😁😁😁
Nakubali na ulicho suggest. Mda umefika Walsham waangalie na hili tatizo.1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga.
Soma: Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia
2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi.
3. Watoto Wana haki ya kulindwa na hatari ya kulawitiwa.
Wabillah Taufiq
@dgwajima
Hapana hatuwezi sema wamepata hayo huko walipokuwa shule.Nimeishi na ndg masister kuna ndg wamelelewa kwenye vituo vyao nawajua vizuri mno, wengi ni mabandidu wana ukali wa kiroho mbaya, wachoyo sana, na walafi mno kwenye mambo ya misosi
Nilitegemea kwa wito wao wawe na huruma ila ni kinyume tena ni wengi tu sio kwenye mashule vituo vya watoto yatima wala mahospitaliniHapana hatuwezi sema wamepata hayo huko walipokuwa shule.
Vitu kama uchoyo,ubinafsi,roho mbaya vinakaa damuni mwa mtu.
Kwani haiwezekani kuifutaa Madrasaa kabisa kulinda usalama wa watoto.
Hiyo dini huwa haimtambui mwanamke