Kuepusha ulawiti, walimu wa madrassa wawe wanawake tu!

1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga.

2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi.

Wabillah Taufiq
Wazo zuri.

Madrasa kadhaa niliona zikifanya hivyo kule unguja,huwenda ni katika kuzuia jambo hilo.

Kwa sasa wanawake wanatakiwa wajitoe sana kuhakikisha jambo hili linakwenda vyema.

Eti kijana wa kiume anafundisha watoto wakike na wa kiume,lazima tuwadhibiti watafute kazi za kufanya hawa vijana wa kiume.

Wanawake ndio wawe wanafundisha watoto hiyo ni salama zaidi
 
Hapa ni uzembe wa serikali! Pamoja na kwamba serikali inaletewa malalamiko kuhusiana na vitendo hivyo bado inachukulia poa!
Mbona ni kuwakamata hao maustadhi na kuwapeleka gerezani bila kupitia mahakamani.
 
Unguja wamewastukia mafirauni
 
1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga.

2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi.

Wabillah Taufiq
@dgwajima
Inaonekana mzee wako aliwai kupherwa huko madrasa
 
Walimu wengi wa madrasa hawana maadili
 
Jambo ni moja tuuu...wanaume fanyeni mkutano wa wanaume wote kujitathmini...
Acheni ushenzi wenu aisee...
Naona kama hii tabia inachanua na wengine mko humu humu waharibifu mnachangia mada...
Itolewe adhabu kali walawiti wauwawe au wanyongwe...
Mnatufanya watu kuzaa iwe nongwa...
 
Ni simple tu... madrassa kuwe na walimu wa jinsia zote mbili basi.....
Na at any time kuna darasa walimu wote wawili wawepo
Kunaweza kuwa na set mbili za walimu wawe wanapeana shift
 
1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga.

2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi.
3. Watoto Wana haki ya kulindwa na hatari ya kulawitiwa.

Wabillah Taufiq
@dgwajima
Wanawake wakikabwa na huuuooo upwlru wata(kaba)^_1 hao watot
 
Watoto wawe salama muda wote
 
Back
Top Bottom