Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nimeupenda uzi kwa sababu ni wa kichokozi sana.Kuna ulamaa mmoja hapo juu badala na yeye atoe ya moyoni,kaamua atoe ya matusini.Angetaja na wa makanisani wanavyotenda ya hovyo ingependeza kuliko mia tisa.Ngoja nimalizie usingizi ili wakija niwasome vizuri maana huu uzi lazima utakuwa wa moto tu, huwezi kutatua ulawiti kwenye madrasa peke yake wakati huko kwenye shule za watoto makanisani zilikuwepo hizi tuhuma