Kuezeka kwa zege

Kuezeka kwa zege

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Habari wataalamu?

Naomba kuuliza kama ninaweza kuezeka kwa zege kibanda ambacho kimejengwa kama ifuatavyo:

1. Ukubwa wa kibanda ni futi 9 kwa10 .
2. Kimejengwa kwa tofali za bloko nchi 5 kwa 9. Tofali zimesimamishwa.
3. Msingi wa mawe. Chini umeingia kama futi mbili.

Nataka nijue kama nikiezeka kwa zege hakuna madhara yanayoweza kutokea kwenye hicho kibanda kutokana na uzito wa zege hiyo!

Naomba kuwasilisha.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa miaka 15 niliishi nyumba iliyoezekwa kwa zege, yaani hata mvua iwe ni ya mawe huisikii kabisa na madirisha yalikua double glazing kwahiyo hata kelele za magari husikii.
 
Mkuu hilo lilikuwa kaburi
Inapendeza ukiwa ndani usikie mishe mishe za nje
 
Kuna madirisha wa nyumba ilikuwa off main road, basi J2 nikitoka misa ya kwanza Roma, ninavuta kiti dirishani kuwaangalia wanaokwenda makanisani, si mitindo ya nguo hiyo na wenyewe hawanioni wala hawajui kuwa nina free view.
 
Dada Sky hakika umekulia maisha ya kipekee. Mungu akupe maisha marefu na yenye furaha.
#smartlife.
 
Formula inakataa; unaweza kufanya hivyo lakini ni hatari kwa usalama wako. Nakushauri usiezeke kwa zege.
 
Habari wataalamu?

Naomba kuuliza kama ninaweza kuezeka kwa zege kibanda ambacho kimejengwa kama ifuatavyo:

1. Ukubwa wa kibanda ni futi 9 kwa10 .
2. Kimejengwa kwa tofali za bloko nchi 5 kwa 9. Tofali zimesimamishwa.
3. Msingi wa mawe. Chini umeingia kama futi mbili.

Nataka nijue kama nikiezeka kwa zege hakuna madhara yanayoweza kutokea kwenye hicho kibanda kutokana na uzito wa zege hiyo!

Naomba kuwasilisha.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu nyumba kama haina nguzo ninmatofali tu usienzeke zege. Ni zito litakubonda ndani siku moja.
Kama kuna nguzo sawa.
 
Back
Top Bottom