Habari wataalamu?
Naomba kuuliza kama ninaweza kuezeka kwa zege kibanda ambacho kimejengwa kama ifuatavyo:
1. Ukubwa wa kibanda ni futi 9 kwa10 .
2. Kimejengwa kwa tofali za bloko nchi 5 kwa 9. Tofali zimesimamishwa.
3. Msingi wa mawe. Chini umeingia kama futi mbili.
Nataka nijue kama nikiezeka kwa zege hakuna madhara yanayoweza kutokea kwenye hicho kibanda kutokana na uzito wa zege hiyo!
Naomba kuwasilisha.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app