Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
- Thread starter
-
- #21
Cyo bongo, katika nyimbo kali za karibuni za huyu dogo hakuna ngoma kali kama 'sometime' lakini imeyeyukaUkitoa nyimbo nzuri Lazima uwendelee kuwa juu. Haina cha team Wala nini
HakunaCyo bongo, katika nyimbo kali za karibuni za huyu dogo hakuna ngoma kali kama 'sometime' lakini imeyeyuka
kaitaja hapo juu hiyo sometimes...NADHANI MTOA POST HAJAISKIA NYIMBO MPYA YA BARAKA INAITWA SOMETIMES.....afu nahisi mtoa post atakuwa upande wa MSINISEME KAMA NAPENDA KULA.
si kweli kuna mengi zaidi ya unavyofikiri.. media zisipopiga nyimbo zako usipotia nguvu kuutangaza mitandaoni kuna mengi zaidi ya wimbo kuwa mzuri ili uweze kupaa hapa bongoUkitoa nyimbo nzuri Lazima uwendelee kuwa juu. Haina cha team Wala nini
Hakuna na naendelea kukataa, kuna wasanii wakubwa wenye ushawishi Kwenye Hizo media mbona nyimbo zao hazitambi ,mwanzo alivotoka alikuwa anayeshawishi gani? Mimi kwa Mara ya kwanza namsikia huyu Dogo nilikuta sehemu wanaichek nyimbo yake niliiuliza huyu Nani nikajibiwa, nikaitafuta nyimbo yake nikaidownload. Kitu Kizuri ukikisikia mara moja kinakubalikasi kweli kuna mengi zaidi ya unavyofikiri.. media zisipopiga nyimbo zako usipotia nguvu kuutangaza mitandaoni kuna mengi zaidi ya wimbo kuwa mzuri ili uweze kupaa hapa bongo