muda mwingine natamani kusema umri bt hapana akina aslay na bright n wadogo kuliko yeye nikisema kabila labda hapana wasukuma n watu poa sana mbona,rangi labda hapana mbona mpoki mweusi na huwa hazinguin kias hiko,jinsi je noo wanaume hatupo vile...nahisi ni malezi tu na kutotegemea kuwa alipo leo apart from that dogo hajawahi kukosea ngoma zake zooote hata hii sometimes haswa kuanzia introo ile" T ongeeeza sauti kidooo.......baaadae" hadi verse ya pili mwanzoni daaaah itaniua maskio,ila ndo apunguze ujuaji naeeeeee