Kufa kimuziki kwa Baraka Da Prince wapi alikosea?

Kufa kimuziki kwa Baraka Da Prince wapi alikosea?

Baraka ndio kaanzishiwa thread ndefu hivi basi kakua kimziki lakini katoa ka nyimbo kake kanafanya poa ngoja tuone baada ya hapo
 
muda mwingine natamani kusema umri bt hapana akina aslay na bright n wadogo kuliko yeye nikisema kabila labda hapana wasukuma n watu poa sana mbona,rangi labda hapana mbona mpoki mweusi na huwa hazinguin kias hiko,jinsi je noo wanaume hatupo vile...nahisi ni malezi tu na kutotegemea kuwa alipo leo apart from that dogo hajawahi kukosea ngoma zake zooote hata hii sometimes haswa kuanzia introo ile" T ongeeeza sauti kidooo.......baaadae" hadi verse ya pili mwanzoni daaaah itaniua maskio,ila ndo apunguze ujuaji naeeeeee
 
Ko ulitaka amsapot domo ndo
Asishuke kimuzk
 
Kwa hiyo baada ya kumshusha belle9 sasa unataka umzime baraka da prince sio, halafu unafurahi mwenzako asipofanikiw?
 
si kweli kuna mengi zaidi ya unavyofikiri.. media zisipopiga nyimbo zako usipotia nguvu kuutangaza mitandaoni kuna mengi zaidi ya wimbo kuwa mzuri ili uweze kupaa hapa bongo
 
Ukitoa nyimbo nzuri Lazima uwendelee kuwa juu. Haina cha team Wala nini
si kweli kuna mengi zaidi ya unavyofikiri.. media zisipopiga nyimbo zako usipotia nguvu kuutangaza mitandaoni kuna mengi zaidi ya wimbo kuwa mzuri ili uweze kupaa hapa bongo
 
si kweli kuna mengi zaidi ya unavyofikiri.. media zisipopiga nyimbo zako usipotia nguvu kuutangaza mitandaoni kuna mengi zaidi ya wimbo kuwa mzuri ili uweze kupaa hapa bongo
Hakuna na naendelea kukataa, kuna wasanii wakubwa wenye ushawishi Kwenye Hizo media mbona nyimbo zao hazitambi ,mwanzo alivotoka alikuwa anayeshawishi gani? Mimi kwa Mara ya kwanza namsikia huyu Dogo nilikuta sehemu wanaichek nyimbo yake niliiuliza huyu Nani nikajibiwa, nikaitafuta nyimbo yake nikaidownload. Kitu Kizuri ukikisikia mara moja kinakubalika
Ukifanya mziki mzuri haukutupi. Style ya uimbaji ni ileile midundo watu wanataka vitu vipya.
Wasanii wasipende kusingizia media.
 
Hizoo dharau za baraka wengine hata mitandao hawatumii hawazijui, tatizo LA Wabongo mtu akifeli jambo fulani anaaza kutafutwa mchawi Nani.

Ukubali ukatae mchawi wa maisha yako ni wewe Mwenyewe.
 
Back
Top Bottom