Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hapana mwaka jana Simba walikufa kiume uwanjani wakati mwaka huu Yanga ilidhulumiwa mchana kweupe.Yanga wamekufa kiume
Udhulumiwe mchana au gizani haibadilishi kuwa umetolewa hatua ya robo fainali nyingne ni mbwembwe tu ila record zinabaki kuwa uliishia robo huo ndio mpiraHapana mwaka jana Simba walikufa kiume uwanjani wakati mwaka huu Yanga ilidhulumiwa mchana kweupe.
Kwa mwaka halina ubishi Simba wamelishwa chuma safi: ilikuwa ni haki yao kwani ndiyo timu pekee iliyoingia robo fainali bila kuwa bingwa wa nchi yoyote.