Uchaguzi 2020 Kufa kwa Sekta Binafsi na Makampuni ya Ujenzi ya ndani ndio kunanifanya nimpe kura Lissu


Hongera sana kwa kutunga uwongo, na nadhani unapaswa kupewa kikombe.
 
Mpe vyiote.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Angalia kiwanda cha tumbaku morogoro kilikua kinazalisha ajira nyingi tu lakin sasa kipo wap sio labda tumbaku hailimwi tabora hapna wamiliki wa kiwanda wamefunga maana utitili wa kodi umeshinda
 
Taja miradi mitatu yenyeviwango vya ubora iliyojengwa na makampuni ya ndani enzi za JK?
 
Hivi huyu Mayanga constructors wanaopigiwa kelele humu mtandaoni ni kampuni ya Urusi?

Kuna wale singasinga wa Moshi nadhani wanaitwa Hari Singhs & sons ambao wanajenga barabara kibao kumbe nao ni wakorea kaskazini
 
Kuvuka hapa kwenda wapi?
 
Sekta binafsi ya njia za mkato mkato zitokanazo na miradi binafsi ya viongozi ni tofauti kabisa na sekta bianasfi inayoshindana popote. Kampuni nyingi za ujenzi zilizokufa ni zile zilizikuwa zinabeba miradi inayotoka kwa viongozi waliokuwapo kuwajengea majumba, wakati zile zinazoshamiri ni zile zinazoshindania miradi ya miundombinu serikalini; kwa mfano jamaa hawa wa Advanced Engineering Solutions Ltd Tanzania hapa:

Halafu hata wajenzi wa nyumba za wenye hela pia bado hawajafa kama unavyodai; kune sehemu nyingi sana ujenzi unaendelea kama jana.
 
Biashara nyingi zimekufa. Lakini serikali inasema inaboresha mazingira ndio maana wafanya biashara wakwepa kodi wamekufa na biashara zao.
Lakini zinapokufa biashara kuna umuhimu wa kuziinua biashara zinazoenda sawa sawa ili ziweze kutoa ajira na kodi kwa serikali
Tatizo lililopo ni kuwa biashara nyingi zinakufa na mazingira ya uwekezaji ukiwa mzawa ni magumu sana kumudu kuendelea angalia

1. Riba kubwa kwa mabenki
2. Mlolongo wa taratibu nyingi unapotaka anzisha uwekezaji
3. Mlolongo wa taasisi nyingi zinazo simamia kazi ya aina moja
4. Utitiri wa kodi kutoka taasisi tofauti tofauti
5. Upatikanaji wa mitaji ni wa shida sana kwa kampuni changa
6. Kampuni za wazawa hazipewi kipaumbele nk
 

Kama uko serious na kuanzisha mradi na mtaji ni shida contact me through my inbox. Thanks.
 
pia kumbuka makampuni mengi yalikuwa feki na hata kazi zilizokuwa zinafanywa zilikuwa chini ya kiwango sana na value for money haikuwepo .Temea uone hata miradi ya maji nchi hii mingi pesa zilipigwa na wakandarasi wetu wakishirikiana na viongozi wezi ndani ya serikali.Ijapo kiukweli pesa nyingi za miradi zinaenda nje ila ni kwa sababu ya maisha tuliosihi watanzania kikorakora vile.
 
Hivi mkuu na akili unaamini jamaa akikwambia atabadili sera utamuamini kuwa atazibadili?

Jamaa sio kiongozi kabisa, haijarishi anakuja na ngonjera gani, ni kumkataa tu.
 
Expansion joint za UDSM nazo?
 
Commercial / industrial nature more so post harvest agricultural processes. I can assist a project of any size and complexity.
Nataka fanya project ya kuzalisha agricuture chemicals pamoja na agriculture equipments za kutumika kufugia unaweza assist
 
kuna jamaa yangu akisoma huu uzi atadhani mleta mada ni mimi. Nilikuwa nampa elimu ya hiki magufuli alichokileta jinsi anavyoua sekta binafsi na soko la ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…