Uchaguzi 2020 Kufa kwa Sekta Binafsi na Makampuni ya Ujenzi ya ndani ndio kunanifanya nimpe kura Lissu

Ulikwepa kodi nyingi mnoo na wewe, hebu lipalipa kidogo japo ufidie😁😁
Kwa mwaka nalipa milioni 30 Kodi ila sijaridhika Kodi yangu kununulia waunga juhudi kina makarai na waitara, kurudia chaguzi za kuifurahisha ccm, kukandamizia demokrasia ikiwemo kuwashughulikia wapinzani, kujenga majengo yasiyo tija ( makao makuu Dom na ikulu mpya why?),kuwafadhili wasiojulikana waumize walipa kodi.Kununulia ndege ili zije zipaki
 
Utawala huu hakuna janja janja,mpe tu lissu kura yako atakufufulia Richmond,hakuna tatizo
Pangua hoja au lalamiko hilo kwa mantiki mkuu.
Au kama hauna hata ABC za uchumi, uliza swali ili ujifunze.
Vipi ndugu zako na marafiki wako ambao hali si hali hawana ajira wala mitaji na wamesoma unawachukuliaje?
 
Hoja zako ni dhaifu sana. Mengi ni mambo ya kusikiasikia na hilo la makao makuu dodoma hujui faida yake
 
Ukishauwa mzunguko wa pesa lzm biashara zife,Yale maduka ya kariakoo yaliyofungwa yalifanya biashara gani na serikali.
 
Acha kudanganywa watu wewe hospitali zilikuwa vzr siyo Sasa ni majengo tu hakuna madaktari,manesi wanalalamika kila siku hawapumziki,watu wamebaki hoi hawana kitu.vijana wako kitaa hawana pa kwenda.wakienda benki masharti kibao ya mkopo,uwe na hati ya nyumba,riba ziko juu mkopo mil 30 kila mwezi unarejesha 1,479,000/= kwa biashara gani.hali ni mbayaaaa.
 
Kwa awamu ya uzulumati labda zingine zililipa watu hela zao
Mliiba sana yaani ndio maana mkajilemaza sababu ya magumashi sasa mmekutana na awamu inayotaka uhalisia ndio mjiweke kiuhalisia na kiushindani sasa. Suala la mtu analipwa hata kazi hajaanza haipo awamu hii
 
Mkuu MECCO ipo hai,kuna barabara mpya wamejenga huku kijijini kwetu karibu wanaikabidhi na tushaanza kuitumia.
 
Hio dawa chungu tunywe sisi walipa kodi kadri tunavyozidi kukaza mikanda wao wanazidi kuilegeza.Kwann dawa chungu na watawala wasinywe
 
Faida ipi zaidi ya kumuenzi mtu aliyepita kwa utashi wa mtu mmoja.
Huelewi bado kumbe, hakuna anayeenziwa ila makao makuu ya nchi kuwa dodoma ni sahihi kabisa kwa ustawi wa taifa letu. Siku ukielewa ninachomaanisha unitag
 
Mliiba sana yaani ndio maana mkajilemaza sababu ya magumashi sasa mmekutana na awamu inayotaka uhalisia ndio mjiweke kiuhalisia na kiushindani sasa. Suala la mtu analipwa hata kazi hajaanza haipo awamu hii
Walihalalisha haramu kuwa halali wakazoea vya kunyonga sasa vya kuchinja vinawashinda🤣
 

Duuh watu tupo tofauti mi 30 rejesho mi 1.4 unalalamika??
Mimi nilikopa m10 rejesho 1.35m miezi kumi jumla 13.5 nakaribia kumaliza na nimepiga hatua sana nna mpango wa kuchukua m20 rejesho 2.5m kwa miezi 10.
Ningekuwa na nafasi ya kukopa kama wewe hivyo ningekuwa mbali sana
 
Hio dawa chungu tunywe sisi walipa kodi kadri tunavyozidi kukaza mikanda wao wanazidi kuilegeza.Kwann dawa chungu na watawala wasinywe
Ungekua ulianza biashara zako ukilipa kodi Leo usingekua hapa ukilialia. Usikate tamaa, fanya ku restructure biashara yako uweze kuongeza faida bila kukwepa ya kaisari... kinachofanyika sasa ulitakiwa kukifanya bila shurti siku nyingii
Halafu nani alikuambia wao hawalipia kodi?
 
1.Ni udhaifu wa watu hao hao wa CCM
2.Hapo umeambiwa kuhusu hali ya private sector
3.Mfano wako ni very minor, mtoa mada kaongelea aspect ya macro economics kimsingi akilenga suala la unemployment.
4.Kuingia uchumi wa kati bila maisha ya raia kubadilika haina tija, sana sana itatuongezea hali ya kuonekana tunajiweza na tutakosa baadhi ya manufaa..Lakini pia ilikuwa imebaki portion ndogo sana.Uzuri takwimu zipo, katafute uone je Mkapa na Magufuli ni yupi aliongeza per capita kwa kiasi kikubwa, kwa kifupi ni kwamba ni kama mbio za vijiti watu wa mwanzo waliakimbia vizuri kiasi chao, halafu alimalizia kuelekea mwisho wa mbio kwenda uchumi wa kati, alikimbia bila changamoto nzito.
"Mitano tena" ikija tutaona tashuhudia hali ngumu kiuchumi katika yafuatayo:-
1.Ukosefu wa ajira kuongezeka(Unemployment rate will rise), kutakakotokana na kusinyaa zaidi kwa private sector.
2.Umasikini wa kipato, kutokana na kutoongezeka kwa mishahara inayozingatia hali halisi ya ugumu wa maisha.
3.Ufinyu wa shughuli za kidemokrasia na hatimae kutozingatiwa kwa haki za kikatiba.
4.Mahusiano mabovu na jumuia ya kimataifa, tumerudi nyuma katika hili, bad thing ni endapo katika uchaguzi huu tutakiuka misingi then itokee bahati mbaya tuwekewe vikwazo.
Sasa nyie endeleeni kuwashangilia wakina OCD wenye kiswahili kibovu mpaka wanazeeka wanapowaambia wakina Mbowe "hauMmUshiNDI" "Hauumuwezsii". Na wengine wakicheza nyimbo za CCM(Haya yote ni matukio ya hovyo na yanayotia kinyaa)
Huu wakati ukifika,je utakuwa na ubavu wa kuilinda familia yako?Wenye hela watasogea hata Msumbiji, kama wasomali walivyosogea bongo.Wewe utabeba box la hela ukanunue maandazi, wakati jamaa atakuwa anache Hhhiiiiiiiiinh, waNNAumeh wameamua.
 
Risala😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…