The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Chauro nakujua sana wewe nilikusaidia sana kupata application chuo hata kunialika kwenye graduation yako ukaona nitafaidi sanaaWakati mwingine ni kutazama mambo kukaa kimya na kujisogeza mbali na watu wa sampuli za namna hii .Watu wengi tuna utu wa machoni lakini mioyoni ni mishetani tuliopitiliza.
Ubaya tabia ni kama upele huwa haijifichi.
Wakati mwingine ni kutazama mambo kukaa kimya na kujisogeza mbali na watu wa sampuli za namna hii .Watu wengi tuna utu wa machoni lakini mioyoni ni mishetani tuliopitiliza.
Ubaya tabia ni kama upele huwa haijifichi.
Chauro na wengi ndio sampuli hizo sasa
Unamfahamu muda mfupi ila atakayoeleza utafikiri umefahamiana nae miaka kumi iliyopita
Yaani anakujua zaidi ya ujijuavyo
Na ukikosana nae sasa shuhudia kitakachomtoka
Chauro nakujua sana wewe nilikusaidia sana kupata application chuo hata kunialika kwenye graduation yako ukaona nitafaidi sanaa
Inasikitisha sana wengi tumeumbwa na wivu na chuki zisizokuwa na maana hatupendi kusikia mazuri ya wenzetu
na pale linapotokea jema basi mtu lazima atafute chokochoko kuchafua yale mema .........
inakuwa faraja kwake.
tatizo la watu wehu sio tu kukutana nao na kufahamiana nao
humu kuna watu wameshaanzisha thread juu ya mtu ambae hawajawahi kukutana nae
na hawamjui.....
wengine obssession zao kwa mtu zinawatuma tu kuandika chochote wanachokihisi....
humu kuna watu wana akili zao
wapo wenye heshima zao
wapo wenye 'matatizo ya akili pia'....
Kwa wale ambao mmefahamiana na mkaendelea kudumisha urafiki - that is well and good ....
Tatizo ninaloliona hapa ni wale ambao wamekuwa na urafiki but all of sudden kukatokea mtafaruku, kuna nafasi kubwa ya vendetta!
Nikisoma baadhi ya "posts" za "new members" - ambao wanaongezeka exponentially [of which is good?] naona kama there is a growing tension of misunderstanding between some members and this is "killing the spirit of JF"!
Possibly it is a high time MODS waka-move in ku-clear the sky!
kama mimi na wewe tulivyofahamiana baada ya kujenga uamnifu,au sio kongosho?Hadi ufahamiane na mtu kiuhalisia inabidi umwamini mtu huyo
Bila kuwa na uaminifu kati ya hao wanaofahamiana
Wanaweza dhuriana bada hasa wakitofautiana
Ni kuwa makini tu na type ya mtu unayepanga kukutana naye.
mshafahamiana na Eliza wa tegeta? Na SL?So far kwangu mimi niliofahamiana nao hapa JF nimepata faida nyingi sana hao tunaofahamiana nao wanazijua hizo faida na bado tunaendelea kubishana na kupingana humu humu JF kila siku na hata tukiwa nje ya JF tunabishana na kuwa na healthy arguments na maisha yanaendelea bila kuwapo hard feelings..
Kweli kabisa... Haya na wewe ulitokewa na muujiza gani? Nataka nijifunze kupitia kwako.
Utamwamini vipi? Kwa PM zake? Au Post zake?
Kwani we hujui kama kumjua Lizzy wa JF ni ujiko?
Lizzy yule...mi namjua yule. Namjua tokea praimare. Kuna mjomba'angu alikuwa anaishi karibu na nyumbani kwao pale karibu na kwa Mromboo. Yule Lizzy hawezi kunambia kitu mimi yule.
kama vile ambavyo mi na wewe hatudhuriani,au vipi?Ukishahusisha sura yako, jina lako halisi na identinty
Mpaka ulobaki ni mdogo sana
Kama ni mtu smart
Anakupata kirahisi sana
Hata hivyo kudhuriwa nako kunategemea wewe ni nani
Sidhani kama mtu ana-interest ya kudhuru kapuku
For what?
Nimecheka mpaka basi! Kumbe kama anaishi karibu na mjomba'ako.....hawezi kukuambia kitu?
BTW, Kwani "ukimfahamu mtu' just bcoz ulisoma naye, ukajua anaishi wapi, ukamuona barabarani, japo hujawahi hata kuthubutu kumsemesha inakupa advantage gani?hehehheheh....kweli uswahili ni kazi kwelikweli!
i concur with you TF,na proof ya hili ni jinsi watu wanavyotaniana humu ndani hata kama hawajuani,na si wote wanataniana,mfano spirin anamtania Klloro na malaria sugu,Kaizer anamtania Ashadii,SL ,AD, Husn wanamtaniaKuamini au kutokumuamini mtu it depends na wewe mwenyewe maana unaweza ukawa unafahamiana na mtu miaka 10 iliyopita lakini ukawa haumuamini....so kwa hapa JF it's the matter of how you interact with people in here especially kwenye kuchambua mada mbalimbali automatically mnanjikutaka you begin to be friends..