Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

very true
connection inahusika
hata sehemu tunazoishi
kuna watu wengine huwa ni wageni kwetu daima
mnaongea vitu vya muhimu
au vinavyowazunguka hapo hapo
ukianza utani
unaharibu hali ya hewa

Spot on.
It's all about connection. . .
Hata huku mitaani kuna watu tunafahamiana nao muda mrefu ila hatuna "ile bond" , na wengine hata kama miezi inahesabika tangu kufahamiana lakini tunajikuta tunakua karibu, tunaconnect kama vile tunafahamiana miaka.
 
very true
connection inahusika
hata sehemu tunazoishi
kuna watu wengine huwa ni wageni kwetu daima
mnaongea vitu vya muhimu
au vinavyowazunguka hapo hapo
ukianza utani
unaharibu hali ya hewa

Hehehe. . . wengine hata ukifikiria kuwatania unakosa pakuanzia.
 
Binafsi con tatizo,as long as wote mmeridhika,ktk hili naamin faida ni nyingi kuliko hasara kwan hata km mtu anakuazingua unapotezea kiutu uzima na maisha yanaendelea!ukijiamin na kuonyesha mipaka ktk urafiki huo hakuna hasara.
 
Mmejuaje?
JF members kuweni makini .Watu wamelizwa humu.Umdhaniaye ndiye kumbe siye.

okey, nilikuwa nataka kusoma tu post zote mpaka mwisho bila kuchangia kitu, lakini imenibidi tu niseme.............lipo neno hapa.
Husninyo amesema kukitana hovyohovyo 'bila sababu' ni kubaya..........however, ujue kati yenu nyie wawili mnaolutana, kina mmoja wenu ana sababu, na hatasema sababu hizo kama ukionyesha huna interest nazo.

Lakini BE, vipi mkuu, wewe tena mkuu? Kama vipi pole sana....(!!!) hapa umesema jambo....ID mpya zinazokuja kushambulia......nafikiri hili ndo jambo la msingi...na naona linakua kwa kasi sana. Isipokuwa, ukiangalia vizuri, sio issue ya kujuana for beer or miradi or anything like that........., ni issue za kutongozana, yes, it is.

Nitarudi......kuna mwana jf nakutana nae fasta 'bila sababu' hapa nick's pub....mi nimekuja na baby walker new model sijui yeye anatakuja na hummer, baby walker yangu inaweza ikawa fridge kwenye gari yake.
 
Wanaotaka kujuwana na mimi waje mtaa wa Lumumba na amani, nyumba ilipozaliwa TANU waulize tu hapo, FaizaFoxy, wataoneshwa kwangu, ni jirani kabisa na hapo. Karibuni, haina haja ya appointment, waswahili hatuna hilo, wakati wowote tunasema Ahlan Wasahlan.
Twaib!!
 
Hamna utani kati yetu.
2012? New vibe? Poa tu lakini yote maisha,you can never win them all,just know kwamba I admire your straightforwardness,quite a mental and emotional stimulant.
 
2012? New vibe? Poa tu lakini yote maisha,you can never win them all,just know kwamba I admire your straightforwardness,quite a mental and emotional stimulant.

Ile ishu ya "mke wa mtu" imepunguza heshima.
Thanks anyway.
 
afu lizzy
unanifuatilia? Mbona hii imetokea jana tu kwangu

kama hamtaniani
bora msitaniane kabisa
akijaribu kukutania, anachoona yeye utani wewe unaona t.u.s.i au haichekeshi hata kidigo

bora kuuishi ukweli tu
Rafiki yangu mmoja hivi, ye siku zote alikuaga serious. Sasa hivi anajitahidi kuleta utani nashindwa hata chakumjibu.
 
Labda mie ndiye mwenye matatizo,

I don't care if I know someone or not!!

Muda wenyewe wa kukaa kuhangaika na watu nauokoteza wapi???

Hata hivyo watu wanaong'ang'aniza urafiki wa kufahamiana kama vile wanaomba uraia wa US au UK ni wa kupotezea!!
 
okey, nilikuwa nataka kusoma tu post zote mpaka mwisho bila kuchangia kitu, lakini imenibidi tu niseme.............lipo neno hapa.
Husninyo amesema kukitana hovyohovyo 'bila sababu' ni kubaya..........however, ujue kati yenu nyie wawili mnaolutana, kina mmoja wenu ana sababu, na hatasema sababu hizo kama ukionyesha huna interest nazo.

Lakini BE, vipi mkuu, wewe tena mkuu? Kama vipi pole sana....(!!!) hapa umesema jambo....ID mpya zinazokuja kushambulia......nafikiri hili ndo jambo la msingi...na naona linakua kwa kasi sana. Isipokuwa, ukiangalia vizuri, sio issue ya kujuana for beer or miradi or anything like that........., ni issue za kutongozana, yes, it is.

Nitarudi......kuna mwana jf nakutana nae fasta 'bila sababu' hapa nick's pub....mi nimekuja na baby walker new model sijui yeye anatakuja na hummer, baby walker yangu inaweza ikawa fridge kwenye gari yake.

hahahhah ucnifurahishe jamani....juzi juzi nimeulizwa hivi y umemnunulia mama nyamayao baby walker?frnd wangu aliniacha njia panda mpaka nilipotafuta maana nilicheka sana na uzito wa mama nyamayao kweli baby walker......B.2.T..hv mie cku nikijulikana humu najiondoa kbsa JF....itaniharibia hii, huwa m2 akiniomba cjui mail address/mobile no ctoi kbsa mpka nikaambiwa najidai....hahah ni mdada 1 tu ana mobile yangu humu ile ya zamani niliipotezea coz ya hii hii JF......ningebambwa na ngosha utamu sana, cku hizi 2namalizana PM.....mambo vp aise....
 
Back
Top Bottom