Spot on.
It's all about connection. . .
Hata huku mitaani kuna watu tunafahamiana nao muda mrefu ila hatuna "ile bond" , na wengine hata kama miezi inahesabika tangu kufahamiana lakini tunajikuta tunakua karibu, tunaconnect kama vile tunafahamiana miaka.
very true
connection inahusika
hata sehemu tunazoishi
kuna watu wengine huwa ni wageni kwetu daima
mnaongea vitu vya muhimu
au vinavyowazunguka hapo hapo
ukianza utani
unaharibu hali ya hewa
Hehehe. . . wengine hata ukifikiria kuwatania unakosa pakuanzia.
Kwa mfano.....?
Rafiki yangu mmoja hivi, ye siku zote alikuaga serious. Sasa hivi anajitahidi kuleta utani nashindwa hata chakumjibu.
Anaitwa nani?
Nyani Ngabu.
Mmejuaje?
JF members kuweni makini .Watu wamelizwa humu.Umdhaniaye ndiye kumbe siye.
Nyani Ngabu wa JF?
Twaib!!Wanaotaka kujuwana na mimi waje mtaa wa Lumumba na amani, nyumba ilipozaliwa TANU waulize tu hapo, FaizaFoxy, wataoneshwa kwangu, ni jirani kabisa na hapo. Karibuni, haina haja ya appointment, waswahili hatuna hilo, wakati wowote tunasema Ahlan Wasahlan.
naomba untanie!Hehehe. . . wengine hata ukifikiria kuwatania unakosa pakuanzia.
araei ndo nani jamani?Nilipanga appointment na Mwana JF mmoja kufika Pale nikagundua kwamba ni RA. Nikasanda
naomba untanie!
2012? New vibe? Poa tu lakini yote maisha,you can never win them all,just know kwamba I admire your straightforwardness,quite a mental and emotional stimulant.Hamna utani kati yetu.
Kwa mfano.....?
2012? New vibe? Poa tu lakini yote maisha,you can never win them all,just know kwamba I admire your straightforwardness,quite a mental and emotional stimulant.
Rafiki yangu mmoja hivi, ye siku zote alikuaga serious. Sasa hivi anajitahidi kuleta utani nashindwa hata chakumjibu.
okey, nilikuwa nataka kusoma tu post zote mpaka mwisho bila kuchangia kitu, lakini imenibidi tu niseme.............lipo neno hapa.
Husninyo amesema kukitana hovyohovyo 'bila sababu' ni kubaya..........however, ujue kati yenu nyie wawili mnaolutana, kina mmoja wenu ana sababu, na hatasema sababu hizo kama ukionyesha huna interest nazo.
Lakini BE, vipi mkuu, wewe tena mkuu? Kama vipi pole sana....(!!!) hapa umesema jambo....ID mpya zinazokuja kushambulia......nafikiri hili ndo jambo la msingi...na naona linakua kwa kasi sana. Isipokuwa, ukiangalia vizuri, sio issue ya kujuana for beer or miradi or anything like that........., ni issue za kutongozana, yes, it is.
Nitarudi......kuna mwana jf nakutana nae fasta 'bila sababu' hapa nick's pub....mi nimekuja na baby walker new model sijui yeye anatakuja na hummer, baby walker yangu inaweza ikawa fridge kwenye gari yake.