Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

Labda mie ndiye mwenye matatizo,

I don't care if I know someone or not!!

Muda wenyewe wa kukaa kuhangaika na watu nauokoteza wapi???

Hata hivyo watu wanaong'ang'aniza urafiki wa kufahamiana kama vile wanaomba uraia wa US au UK ni wa kupotezea!!

kuna sehemu wengine 2kijitambulisha kama ndio nyamayao bac m2 ujiandae na kasheshe, sehemu nyingi wazee we2 ndo mikoa yao ya kikazi/burudani....arusha/moshi/dar naogopa sana,na ninavyomchambaga ngosha humu nitabakia nyamayao aisee.....
 
afu lizzy
unanifuatilia? Mbona hii imetokea jana tu kwangu

kama hamtaniani
bora msitaniane kabisa
akijaribu kukutania, anachoona yeye utani wewe unaona t.u.s.i au haichekeshi hata kidigo

bora kuuishi ukweli tu

Hahahaha. . . pole na wewe.
Inakua ngumu kweli, inabidi nicheke tu na kupotezea maana kumwambia aache bado. Ila nadhani ntamwambia nakua na wakati mgumu kupokea utani wake maana siwezi kurudisha.
 
Mie sifahamiani na yeyote lakini natamani kweli kuwafahamu watu humu~~~~~~~~ hususan The Boss, japo kasema anahofu akifungua dirisha la kufahamiana nzi na wadudu wa kila aina wataingia lakini namtoa wasiwasi mie ni mdudu kipepeo, nikiingia nitaipendezesha nyumba~~~~~LOL,

Nipokuwa Dar mwishoni mwa mwaka jana kula X-Max, niliwajulisha wana JF, lakini wote walinichunia, jamani wana JF wa Dar ni wabaya kweli~~~~~~~~~~~LOL

heee sasa wa kuniazima bajaj safari nitamtoa wapi lol
 
Back
Top Bottom