Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

Interview ya NN/Lizzy ............ Endeleeni tafadhali..Huenda ikatoa somo kwa wasomaji
 
naandika ambacho nadhani ni sawa kuandika .
kwa hiyo kama topic imekaa shang'alabagala usitegemee
majibu ya maana.. na kama topic ina mambo yanayoeleweka
basi ntajibu kama topic ilivyo..

Kufahamiana na mtu haiingiliani kabisa "hatakama ni ndugu"
 
black rose.....

Black-Rose.gif
 
Huwa wanaanza hivyo hivyo.

Anyways, sasa hapa mnataka kufahamiana au kutongozana? Au kujuana au kupeana deal wapi kitimoto poa au jamii sacosi au shamba la jf au nini hasa.
 
habari za asubuhi mabibi na mabwana.
Vipi mshafahamiana?
 
Huwa wanaanza hivyo hivyo.

Anyways, sasa hapa mnataka kufahamiana au kutongozana? Au kujuana au kupeana deal wapi kitimoto poa au jamii sacosi au shamba la jf au nini hasa.

mi nafikiri kukutana wana mmu ni kutongozana na mambo yote ya kimahusiano, misiba, harusi etc. Kule business forum ndio wanakutana kibusiness zaidi.
 
sijaelewa....!

halaf napita tu vrouuuuuuuuuuuuuuuuuuuum!:yawn:
 
Back
Top Bottom