Kufahamiana ni jambo jema sana

Tunakutanaga kwenye forex usijali
 
Fahamianeni ni kitu kizuri, binafsi sipotayari.
 
HUO UMOJA MLIOUNDA HUKO MITAANI HAUTOSH? BS TAFUTEN HT UMOJA WA VIBAMIA.. JF SYO KAZ YAKE
 
Ili iweje sasa!!
Karibu kibhanchebhanche huku tulime majani
 
Kujuana ndio kulisababisha Nyani Ngabu akapigwa life ban....[emoji13] [emoji13]
 
Hivi hamchokagi habari za jumuiya na kujuana, mna vikundi vifuatavyo:
.Jumuiya za kanisa
.Kikundi cha kusaidiana cha watu wa kabila lenu mlioko hapo mkoani kwenu.
.Saccos ya Office
.Kikundi cha mliosoma wote Primary,o'level,A'level,University
.Kwenye VICOBA sijui
.Bado mnataka na cha JF tena.
 

upo sahihi mkuu na hii nzuri sana pindi tunapopata matatizo
 

mkuu kujuana hakuna mwisho especially kwa ssi binadamu matatizo na furaha ziko kwetu ss sote hvyo unachokisema unakosea sana jaribu kutafakari msemo wake, ila kama ww tayari uano watu wanaokujua basi acha wengine watengenze ukaribu na wengine coz ukifa leo hujui nani atakae kuzika.
 
Malengo ya jf hayakua hayo,nadhani wenye kuhitaji hizo mambo kuna sites special kwa ajili hio.

Salamu za Dhati ziende kwa watu wasiojulikana popote pale walipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…