Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Tunakutanaga kwenye forex usijaliIngependeza zaidi kama ingetokea siku moja wana JamiiForums wa mkoa mmoja wangeweza kukutana ili wafahamiane na kuunda kitu kama jumuia hivi kwa ajili ya kupeana kampani pind litokeapo tatizo kama misiba ugonjwa na mengineyo. Umoja ni nguvu.
Huo ni mtazamo wangu wa ndugu.