mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Mkuu humu samtymz sio sehemu salama kiviiile chief.hahaha sawa mng'ato umeshinda mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu humu samtymz sio sehemu salama kiviiile chief.hahaha sawa mng'ato umeshinda mkuu.
Mkuu humu samtymz sio sehemu salama kiviiile chief.
Sasa jamaa yeye alifanya kweli kabisa mkuu.....Mhhh,,,,,humu jf saizi hakuna utani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila siku zinabuniwa njia za kutaka kutufhamu, yaani watasanda sana, mwambieni aliyewatumA hamtupati ng'oooooKhaaa! Watakuwa wametumwa na mtu mkubwa sana!
haha wanakijiji wa jf si wa kuaminika sana be very carefulIngependeza zaidi kama ingetokea siku moja wana JamiiForums wa mkoa mmoja wangeweza kukutana ili wafahamiane na kuunda kitu kama jumuia hivi kwa ajili ya kupeana kampani pind litokeapo tatizo kama misiba ugonjwa na mengineyo. Umoja ni nguvu.
Huo ni mtazamo wangu wa ndugu.
Pole yakeSasa jamaa yeye alifanya kweli kabisa mkuu.....
Maana alizileta zile za ukweli kutoka kule kwenye account ya IG
Na kujamiiana ni jambo jema zaidiIngependeza zaidi kama ingetokea siku moja wana JamiiForums wa mkoa mmoja wangeweza kukutana ili wafahamiane na kuunda kitu kama jumuia hivi kwa ajili ya kupeana kampani pind litokeapo tatizo kama misiba ugonjwa na mengineyo. Umoja ni nguvu.
Huo ni mtazamo wangu wa ndugu.
My apology sister,sikua nimefahamu.mimi ni mdada jamani ukiniita chief tena mmh
Unatoa kwanza rinda lako ndiyo nikupe elfu 10wanaotaka kujuana mchango ni tshs 10,000 mimi napokea
mmmh!!!Unatoa kwanza rinda lako ndiyo nikupe elfu 10
SaluteUnatoa kwanza rinda lako ndiyo nikupe elfu 10
hahaaaaHahaha! Sasa hutaki kujulikana na unatangaza unataka mchumba jf siku ya ndoa utaweka kivuli?
hahaaaaKujuana ndio kulisababisha Nyani Ngabu akapigwa life ban....[emoji13] [emoji13]