Kufahamiana ni jambo jema sana

Kufahamiana ni jambo jema sana

Tukijuana inaondoa ladha kabisa, bora hivihivi gizani ndio tamu.
 
Khaaa! Watakuwa wametumwa na mtu mkubwa sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila siku zinabuniwa njia za kutaka kutufhamu, yaani watasanda sana, mwambieni aliyewatumA hamtupati ng'ooooo
 
Ingependeza zaidi kama ingetokea siku moja wana JamiiForums wa mkoa mmoja wangeweza kukutana ili wafahamiane na kuunda kitu kama jumuia hivi kwa ajili ya kupeana kampani pind litokeapo tatizo kama misiba ugonjwa na mengineyo. Umoja ni nguvu.

Huo ni mtazamo wangu wa ndugu.
haha wanakijiji wa jf si wa kuaminika sana be very careful
 
Ingependeza zaidi kama ingetokea siku moja wana JamiiForums wa mkoa mmoja wangeweza kukutana ili wafahamiane na kuunda kitu kama jumuia hivi kwa ajili ya kupeana kampani pind litokeapo tatizo kama misiba ugonjwa na mengineyo. Umoja ni nguvu.

Huo ni mtazamo wangu wa ndugu.
Na kujamiiana ni jambo jema zaidi
 
wanaotaka kujuana mchango ni tshs 10,000 mimi napokea
 
Back
Top Bottom