JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Hilux inakuja na 1GD ftv hii ngoma achana nayo kabisa vijana wanasema acha iende
Zile LX v8 single turbo zinakaa hapo
Engine hio ipo kwa latest hiace , Prado, Fortuner pia Zina option ya engine hio
Segment ya Pick up amarok anawagaragaza sana ndugu zake.
Hiyo video wametumia Amarok ya 3.0TDI ila nakuambia hata kama ingekuwa ni Amarok ya 2.0TDI au 2.0Bi-TDI bado Hilux asingefua dafu.
Amarok hizo gari zinatembea sana.