Kinacho matter ni horse power ya hio gari na sio number of cylinder ukicheki hapo ni gari mbili karibu zilingane weight moja ina kama 202hp ingne ina 258hp what do you expect? Gari zikishakuwa na turbo zote Ni swala la muundaji aamue aboost power kwa kiasi gani , Toyota kaishia hp hizo Kwanza kwenye engine hio kama mnakumbuka 1gd ilipoanza ilikuwa na 177hp miaka inavozidi kwenda Hadi Sasa wamefikia 204hp bila shaka kwenye engine hi0 hio ,, na Toyota hawakuunda hio engine ili ishindane na amarok ameunda kwa matumizi yake akitaka pata the best of all kwanzia emmision standard, power, fuel consumption pia,
Kumbuka engine Ni four cylinder tu na zinaeza handle hizo hp vizuri bila shaka , pia Hana 6 cly ya disel nzuri Kama kina Audi,vw, na wenzake Wana engine za 6 nzuri japo zingne wanatumia za BMW , Kama zile discovery na range Rover TDV6 Zina 190hp zinaweza panda au kushuka kulingana na inapoenda fungwa
Amarok pia naona ana 2L FSI Ina option ya horse power tatu tofauti kulingana na inapoenda fungwa
Kwenye scania 94 series hp inaanzia 220 -310 Sasa huwezi sema kuwa 94 5 cylinder haiwezi fua dafu kwa zhongtong ama yutong f12 wakati umechukua 94 220 chukua ile 310 utaona balaa lake
Tofauti ya cylinder mbili Ni ndogo Sana ..huko ma mbele tumeshuhudia W16 buggati ikipelekwa na gari yenye 8cly tu Tena Ni legal hata wewe unaeza ipata ukatumia huko bongo ,
Number of cylinder isikuogepeshe angalia hp zake ndo utajua inacharuka kiasi gani ,, Kuna video Dodge Challenger imeikimbimbia helcopter ikaipoteza ilikuwa chase ..waliokuwa kwenye helcopter hawakusema cc za gari Wala number of cylinder Bali walisema gari Ina hp 707