Kufahamu mambo yako hapa: Ramli ya kutizama mambo unayotaka

Huo Ni ushirikina
Kumbe mkuu bado unapiga ramli serikali ishakataza

Mpe Yesu Maisha yako achana na ushirikina utakupeleka please pabaya
 
Mkuu nifasirie namba 2 tafadhAli ..naweza kuku pm jina langu na la bimkubwa "!?
 
shirku billah
si hiyo pekee mambo mengi tu ila kama yamekuepuka shukuru mungu lakini kama kuna hata moja unalo basi jua wal'munafiquna fi naar jahanam pia
 
Huo Ni ushirikina
Kumbe mkuu bado unapiga ramli serikali ishakataza

Mpe Yesu Maisha yako achana na ushirikina utakupeleka please pabaya
ramli ni nini?
 
Mkuu nifasirie namba 2 tafadhAli ..naweza kuku pm jina langu na la bimkubwa "!?
ndio karibu, namba mbili ni mlango wa pesa huu unahusika katika kutizama pesa zako zitapatikana kutokea wapi na kipi kinakwamisha pesa zako na jinsi gani unaweza pata pesa yani kila linalohusu pesa utalijua hapo

rakims
 
Mkuu namba 2nimeielewa sana na matamani sana kufaham je , nikutumie ayo majina pm? Na je jina la mwanzo tu?
 
Mkuu namba 2nimeielewa sana na matamani sana kufaham je , nikutumie ayo majina pm? Na je jina la mwanzo tu?
Ndio ni jina la kwanza la mama na jina la kwanza la muhusika tu, pia umri na mkoa au jiji uliopo,

Rakims
 
Mtoa mada ana ID fake, na anaomba jina lako na la mama yako, wewe mwenye ID fake, ila kwa tamaa ya kufanikiwa utatoa tu, mwisho wa siku unalia kutapeliwa. #Just a WARNING.
Wewe umeshatapeliwa? Na nani anaweza kutapeli elfu 2 au elfu 5
Au uko kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…