Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si hiyo pekee mambo mengi tu ila kama yamekuepuka shukuru mungu lakini kama kuna hata moja unalo basi jua wal'munafiquna fi naar jahanam pia
Habari mkuu, yote hayo ni hadithi za baadhi ya waganga kujitahidi kula pesa za watu, unapoambiwa nyota yako ina milango saba maana yake hapo anakuletea hadithi tu za kiganga ili kukupoteza akikwambia hivyo jua anamaanisha nyota yako ni nyota ya saba katika mlolongo wa nyota 12 na pia nyota hizi mpangilio wake umechukuliwa katika mlolongo wa kutizama(ramli ya uganga) wa kiarabu na pia haziendani sana kama madai yanavyodai kuwa zimepangana hivyo hewani,Naomba nikuulize jambo mkuu. Kuna watu huambiwa nyota yako ina milango let's say 7 mwingine anwambiwa 10 mwingine 12. Hii huwa ina uhusiano gani na ilo. Tofauti kati ya mweny nyota ya milango 7 na milango 12 ni nn?. Je Lina ukweli
wowote hili suala. Na hapo hapo mwisho wa milango ya nyota wanasemaga ni 14 je kunaukwel kweny ilo. Na wapo wanaosema ni Bora uwe na nyota milango 10 kuliko 11 sababu. Nyota ya milango mizuri inabidi igawanyike kwa mbili.
Habari mkuu,Kwahiyo umekubali kwamba unafanya ushirikina na pia unakubali adhabu?
70:27. Na ambao wanaiogopa adhabu itokayo kwa Mola wao Mlezi
28.Hakika adhabu ya Mola wao Mlezi si ya kuaminika nayo.
Habari mkuu,
Naheshimu mitizamo ya dini na wala sina ubishi wa kumbishia mtu kitu alichoamini kama ni sahihi au si sahihi.
Na kila mtu anaouelekeo wake na wewe unadini yako na mimi ninadini yangu,
Pia hili jukwaa sio la dini ningetaka kuchambuliwa kidini ningepeleka kwenye jukwaa la dini
Rakims
Mkuu mm nyota yng ni Virgo mkuu nilikuwa naomba unitizamie kuhusu mlango wa kazi umekaaje kwa upande wangu.Karibu tena mkuu
Rakims
Ili kuweza kutizama mlango huo mkuu nitahitaji jina lako na la mama tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa pamoja na pesa ya kuchambulia sh elfu 2 unalipa kwa airtel money kama upo teyari nikupe nambaMkuu mm nyota yng ni Virgo mkuu nilikuwa naomba unitizamie kuhusu mlango wa kazi umekaaje kwa upande wangu.
Habari mkuu.Rakims,naomba no ya kurusha pesa nataka unichekie mlango wa 2 na 12,pia mlango upi unatakiwa uniangalizie ili nijue jinsi ya kushinda betting?nyota yangu ni punda Kwa ndoo
Rakim,nimerusha elfu 10,Kwa wakala Yasmin kalolo,jina limetokea AHMED SALUM,,naomba unichekie mlango wa 1,2,7,8,12 kama ikikupendeza kunipa majibu yote ntashukuru Hali si Hali.
Majibu khs nyota ulishanipa haya;
Mkuu nyota yako ya akili ni Punda nyota yako ya ujumla ni Ng'e na nyota yako ya roho ni kaa inapokuja kwenye nyota ya kufanya mambo ya kiroho na yenye nguvu zaidi kwako ni Ndoo kwa mchanganyiko huu pekee unaonyesha jinsi gani ulivyo complicated
Cha kukushauri fuata nyota ya punda maana ndio inatawala akili yako pia ndio nyota iliyochomoza wakati unazaliwa na ndio nyota ina nguvu kwako hata kukushawishi na kupambana na kila jambo huku ikisaidiwa na nyota ya jina lako na la mama ambayo ni ndoo ukizifuata vema hizo mbili basi utaona ajabu hizi za maji zitakuzoofisha japo zina urafiki na wewe ukweli ni kwamba maji na moto havikai pamoja isipokuwa moto na upepo kwa hiyo tumia hizi mbili ambapo ukiziunganisha unapata msaada wa nyota zote 12 ambapo ni 1 + 11= 12
Nakushauri sana kutumia hizi mbili maana huendana zaidi ascendant sign na jina la mtu na mama yake.
Cheti cha kuzaliwa MYAVIDZI
Lashule na documents ALLAN
La mama. AGATHA
Tarehe. 19/11/1978
Muda 9.30mchana
Hospital MUHIMBILI
Siku JUMAPILI
Hivi kumbe nilishawahi kukomenti humu😅Sawa nitakujazia majibu moja moja p.m nipe muda hadi kufikia kesho
rakims